dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Mavazi yake kuna mambo yanaashiriaKwa usanii tu hata kutembelea mikoa minne ni mtihani sana.
Hata Hana hit song tusema anakwenda kufanya show mbele, yuko katika ofisi moja wa tajri akijifanya mtaalamu wa graphics na marketing manager content.
Kuna jamaa jamaa alisema Kuna kitu amekiweka rehani kwa Siri kubwa.
View attachment 2909009
Ubwabwa ndio ulipe kiasi hicho kweli?๐Si mlisema bwabwa au unasemaje?
Mji mzito huu!Nasikia anaikalia
Labda chakula ya wakubwa nasikia ni bi mdogo wa muuza magodoro, wengine wanasema ni punda.Ubwabwa ndio ulipe kiasi hicho kweli?๐
Kwanza TRA walitakiwa wambinye kende zake aeleze anatoa wapi pesa na kama analipa kodi, shwaiiiin.Ila jamaa anakula maisha sana.
Anaishi kama kina Wizlkid ila chanzo chake cha mapato hakijulikani
Sema ilo kabila huwa wanauthubutu sana linapokuja swala la pesa, hakuna kitu wanashindwa fanya, hata ikiwa ni kushusha utu na heshima zao.
Huyu kama maisha anayaishi eti. Kama ni chakula ya wakubwa inamaana amewazidi hadi dada zake jamani๐๐๐.Labda chakula ya wakubwa nasikia ni bi mdogo muuza magodoro, wengine wanasema ni punda.
Kuna mtu nimesikia anasema eti ndio vazi la taifa hiloMavazi yake kuna mambo yanaashiria
Ila watanzainia tunamajungu sana na sasa watu hawajui ila wameshampakazia kila aina ya kashfa..Kwa usanii tu hata kutembelea mikoa minne ni mtihani sana.
Hata Hana hit song tusema anakwenda kufanya show mbele, yuko katika ofisi moja wa tajri akijifanya mtaalamu wa graphics na marketing manager content.
Kuna jamaa jamaa alisema Kuna kitu amekiweka rehani kwa Siri kubwa.
View attachment 2909009