MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
labda atuambie wanyama wanafanyaga mazoezi ganiπ€πΆββοΈAnasema?
"mbona wanyama hawafanyi mazoezi ya kukimbia na wana spidi kali kuliko sisi?..
Huyu akapimwe mkojo hawezi kiwa timamu, kwani speed inaongezwa kwa kufanya mazoezi ya kukimbia!? π
Bongo kila mtu ni mtaalamu...
Sasa hivi bongo kila mtu ni mtaalamu wa mazoezi, ni mtaalamu wa chakula, ni daktari, ni tabibu wa nguvu za kiume, ni mtaalamu wa vipodozi vya kina dadaππ€£..labda atuambie wanyama wanafanyaga mazoezi ganiπ€πΆββοΈ
Sio bongo tu, ni duniani kote.Sasa hivi bongo kila mtu ni mtaalamu wa mazoezi, ni mtaalamu wa chakula, ni daktari, ni tabibu wa nguvu za kiume ππ€£
Acha uvivuMazoezi bora ni kuacha kula hovyo tu basi inatosha.
Unanifokea ama unanikemea πππAcha uvivu
Kudanganya danganya watu twitter kuhusu mazoezi leo anaitwa mtaalamu hana hata elimu ya kumenya embe...Kwa mujibu wa huyu mtaalamu wa mitandaoni KUKIMBIA ni zoezi baya sana lisilofaa. Sababu aliyotoa ni kuwa mbona wanyama hawafanyi mazoezi ya kukimbia na wana spidi kali kuliko sisi?.. Unakubaliana naye?
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1ZnKNHuYMT/
Nimepokea jumbe nyingi sana huko PM kunisihi nisijiondoe JF kwa sababu nikiondoka itakuwa ni kama kuiangamiza JF. Nimejipa muda zaidi kuona kama wenye akili wataongezeka ongezeka. Kama hakutakuwa na mabadiliko nitajiondoa.Hivi bado hujajiondoa humu jf?
πππ«΄π»"Mtaalam wa mitandaoni" . π