Mkuu tulia dawa iingie taratibu nataka nikwambie kitu ndani ya simba kitu kinachoidhoofisha klabu ni uongozi. Wachezaj na fans hawana tatizo wanafanya kazi yao ipasavyo tutarajie kuona simba ya mkude na simba ya bocco na kibaya zaidi kuna majina makubwa yenye viburi kutokana na kupata mafanikio ya soka mf Okwi,Niyonzima,na wengineo. Kiukweli kabisa mafanikio ya yanga yametokana na mshikamano uliojengwa na klabu ya yanga pamoj na fans wao ila kwa simba ni tofauti kwani huwa haiishiwi na figisu ndan ya klabu sitoshangaa kuona mpasuko wa ndani kwa ndani baina ya wachezaji wenyewe ikiwa uongoz hautochukuwa tahadhari lkn pia kwa simba kumvua mtu ukapteni limekuwa ni jambo la kawaida refer kwa H.Isihaka nk.