Omog anataka kuiletea Simba SC mpasuko, mgogoro na kuamsha fitna

Omog anataka kuiletea Simba SC mpasuko, mgogoro na kuamsha fitna

Mi najua mipasuo inakaa kwenye skirt na magauni.mleta maada sabb ya mazoea hayo anaeta na kwenye mpira.
 
py thon john Terry amesajaliwa na aston villa na kupewa unahodha tena mkuu

Sembuse Huyo bocco tena nahodha msaidizi wa tatu

Poor you
 
py thon john Terry amesajaliwa na aston villa na kupewa unahodha tena mkuu

Sembuse Huyo bocco tena nahodha msaidizi wa tatu

Poor you
Tofautisha timu ndogo na timu kubwa Aston villa ni timu ndogo sana huyo Terry angekuwa villa ndio kaenda Chelsea unafikiri angepewa unahodha au leo hii Ronaldo aende Chelsea unafikiri atapewa unahodha ila akienda Newcastle uwezekano upo

Hivyo hivyo TZ yondani akienda majimaji na akapewa unahodha haitoshangaza ila kwa vilabu hivi vikubwa ndio mshangao mkubwa
 
Nyie
Mlitaka mkude awe nahodha wa milele ?
Ni wazo la ajabu kweli.
Kwani hao wachezaji wengine wana kasoro gani ?
Huyo raisi wa Fifa anabadilishwa sembuse mchezaji.
Huyo Raisi wa TFF msimu huu amebadilishwa sembuse Mkude.
Kocha na benchi la ufundi ndio wenye sababu za kumchagua mchezaji kuwa nahodha.
 
... tutarajie kuona simba ya mkude na simba ya bocco
Nahodha ni Method Mwanjali, wala sio Bocco. Manahodha wasaidizi ni Tshabalala na Bocco. Sasa hiyo Simba ya Mkude na Bocco inatokea wapi? By the way, Mkude ameisumbua sana Simba katika kuongeza mkataba, na kama nahodha hakutakiwa kuwa anaongelea mkataba wake hadharani. Alikuwa anasema hadharani kuwa msimu ujao nitaangalia maslahi yangu. Aliwahi kusema anasaini Yanga. Naunga mkono Mkude kuondolewa unahodha. Napinga wanaosema nahodha ni Bocco

FullSizeRender_24.jpg
 
Mkuu tulia dawa iingie taratibu nataka nikwambie kitu ndani ya simba kitu kinachoidhoofisha klabu ni uongozi. Wachezaj na fans hawana tatizo wanafanya kazi yao ipasavyo tutarajie kuona simba ya mkude na simba ya bocco na kibaya zaidi kuna majina makubwa yenye viburi kutokana na kupata mafanikio ya soka mf Okwi,Niyonzima,na wengineo. Kiukweli kabisa mafanikio ya yanga yametokana na mshikamano uliojengwa na klabu ya yanga pamoj na fans wao ila kwa simba ni tofauti kwani huwa haiishiwi na figisu ndan ya klabu sitoshangaa kuona mpasuko wa ndani kwa ndani baina ya wachezaji wenyewe ikiwa uongoz hautochukuwa tahadhari lkn pia kwa simba kumvua mtu ukapteni limekuwa ni jambo la kawaida refer kwa H.Isihaka nk.
Kila mtu kasajiliwa kivyake kwa dau lake huwezi kushikiwa akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofautisha timu ndogo na timu kubwa Aston villa ni timu ndogo sana huyo Terry angekuwa villa ndio kaenda Chelsea unafikiri angepewa unahodha au leo hii Ronaldo aende Chelsea unafikiri atapewa unahodha ila akienda Newcastle uwezekano upo

Hivyo hivyo TZ yondani akienda majimaji na akapewa unahodha haitoshangaza ila kwa vilabu hivi vikubwa ndio mshangao mkubwa
kwahiyo kigezo kipi kinatumika kumpa mchezaji unahodha?
 
Tena kasajili vikongwe wakati sisi Simba tunaamini ktk vijana,yaani mtaa wa pili wanapunguza wazee, sisi tunasajili wala pensheni. Siioni tena Simba ya vijana, taratibu tunajuana mbele ya safari

Sent using Jamii Forums mobile app

Simba ya vijana ilikuwepo je ilitufikisha wapi? Mbao ni timu ya vijana tupu je Inacheza mashindano gani ya kimataifa?
 
Nyie ndala acheni kuingiza habari zenu za kijinga hapa jukwaani. Subirieni tarehe 23 ndo mjue tumesajili vikongwe ama la!
 
Kinachoshangaza kitambaa kapewa mwanjali lkn yy anaongelea bocco wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom