johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Humjui Ruto ww. Huyo ni Dictator, mwizi na mafia snaDr. Ruto ni role model, from zero to hero, a God fearing person na ni mtu anayeshukuru na kumtumainia Mungu. Angalia video hapo chini. Huyo mwingine sijui
Tokea lini mpinzani wa serikali akawa na uwezo wa kuiba kura, kura huwa zikiibiwa na wagombea walio upande wa serikali huko hata wizi unaweza ukalindwa na mashindi bandia akatangazwa Ila sio kwa mpinzani..Mwanaharakati Joel Omondi amesema Rais mteule wa Kenya Dr Ruto katika kampeni zake alitumia mbinu za hayati Magufuli ili kujenga kukubalika na wapiga kura
Omondi amesema Ruto alijishusha kwa Watu wa Chini kabisa wale Jua kali na mama mboga huku akijiita yeye ni " chicken seller"
Hata uvaaji ni ule ule wa hayati Magufuli kwenye kampeni, amesema Omondi
Mungu ni mwema wakati wote!
Mtu akifanikiwa atapewa majina mengi lakin hayasaidii kituHumjui Ruto ww. Huyo ni Dictator, mwizi na mafia sna
Amepateje Ndege 5? Ana utajiri mwingi wa kutisha. Wote na Makamu wake wamechaguana wezi. Subirini miaka siyo mingi wakenya watalia.Mtu akifanikiwa atapewa majina mengi lakin hayasaidii kitu
Hapo kwenye god fearing sasaDr. Ruto ni role model, from zero to hero, a God fearing person na ni mtu anayeshukuru na kumtumainia Mungu. Angalia video hapo chini. Huyo mwingine sijui
View attachment 2328897
Wewe ni mkenya?Baada ya Raila kuanguka naona wafuasi wa Magufuli wa JF wameamua kujifariji kwa kumuunga mkono Ruto kwa mtindo tofauti. Mlikuwa wapi kuyasema hayo hapo kabla?
Siku zote mmekuwa mkimuita Ruto ni mwizi, fisadi na mroho wa madaraka ndani ya serikali ya Uhuru (mkimfananisha na Lowassa wa 2015), leo mmegeuka na kusema Ruto ni mpenda siasa za wanyonge!
Sote tunajua Raila ndio alikuwa anajifananisha au kufananishwa na Magufuli, akisema na kusemwa kuwa alikuwa akimshauri au kukubali kushauriwa na Magufuli.
Na sote tunajua (tena kwa uhakika) kuwa Magufuli na Raila walikuwa ni marafiki wakubwa wa kufa na kuzikana. Kwanini msisimamie hapo hapo?
Magufuli alikuwa anafanya uhuni wa kuiba kura kwa bunduki. Kwani alipigiwa kura! Mpaka leo watu wana makovu mwilini na wengine walikufa!Mwanaharakati Joel Omondi amesema Rais mteule wa Kenya Dr Ruto katika kampeni zake alitumia mbinu za hayati Magufuli ili kujenga kukubalika na wapiga kura
Omondi amesema Ruto alijishusha kwa Watu wa Chini kabisa wale Jua kali na mama mboga huku akijiita yeye ni " chicken seller"
Hata uvaaji ni ule ule wa hayati Magufuli kwenye kampeni, amesema Omondi
Mungu ni mwema wakati wote!
Wanafik sana hao viumbe. Baada ya kutuombea mabaya, wakitaka wakenya tupigane na kuuana sasa wamerudi tena kwenye shobo zao. Wakijaribu kumfananisha Ruto na yule mshamba, mwendazake. Bure kabisa.Baada ya Raila kuanguka naona wafuasi wa Magufuli wa JF wameamua kujifariji kwa kumuunga mkono Ruto kwa mtindo tofauti. Mlikuwa wapi kuyasema hayo hapo kabla?
Siku zote mmekuwa mkimuita Ruto ni mwizi, fisadi na mroho wa madaraka ndani ya serikali ya Uhuru (mkimfananisha na Lowassa wa 2015), leo mmegeuka na kusema Ruto ni mpenda siasa za wanyonge!
Sote tunajua Raila ndio alikuwa anajifananisha au kufananishwa na Magufuli, akisema na kusemwa kuwa alikuwa akimshauri au kukubali kushauriwa na Magufuli.
Na sote tunajua (tena kwa uhakika) kuwa Magufuli na Raila walikuwa ni marafiki wakubwa wa kufa na kuzikana. Kwanini msisimamie hapo hapo?
God fearing wapi fisadi huyu, yaani mtu anayepata utajiri baada ya kushika nyadhifa serikalini ndio hustler?Dr. Ruto ni role model, from zero to hero, a God fearing person na ni mtu anayeshukuru na kumtumainia Mungu. Angalia video hapo chini. Huyo mwingine sijui
View attachment 2328897