Kenya 2022 Omondi: Dkt. Ruto alitumia mbinu za hayati Magufuli (kuwakumbatia Jua kali na mama mboga) ili kujipatia Ushindi

Kenya 2022 General Election

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwanaharakati Joel Omondi amesema Rais mteule wa Kenya Dr Ruto katika kampeni zake alitumia mbinu za hayati Magufuli ili kujenga kukubalika na wapiga kura

Omondi amesema Ruto alijishusha kwa Watu wa Chini kabisa wale Jua kali na mama mboga huku akijiita yeye ni " chicken seller"

Hata uvaaji ni ule ule wa hayati Magufuli kwenye kampeni, amesema Omondi

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Ilikua faida Kwa Raila kama angeungana na Kalonzo na sio Uhuru kosa lapili kumfanya Martha K kua Makamo wako !!! .

Binafsi RUTO ,, ni Mwanaume a true definition of being Hustler ...muuza kuku...baba mchungaji
 
Dr. Ruto ni role model, from zero to hero, a God fearing person na ni mtu anayeshukuru na kumtumainia Mungu. Angalia video hapo chini. Huyo mwingine sijui
 
Mwanaharakati Joel Omondi amesema Rais mteule wa Kenya Dr Ruto katika kampeni zake alitumia mbinu za hayati Magufuli ili kujenga kukubalika na wapiga kura

Omondi amesema Ruto alijishusha kwa Watu wa Chini kabisa wale Jua kali na mama mboga huku akijiita yeye ni " chicken seller"

Hata uvaaji ni ule ule wa hayati Magufuli kwenye kampeni, amesema Omondi

Mungu ni mwema wakati wote!
Tokea lini mpinzani wa serikali akawa na uwezo wa kuiba kura, kura huwa zikiibiwa na wagombea walio upande wa serikali huko hata wizi unaweza ukalindwa na mashindi bandia akatangazwa Ila sio kwa mpinzani..
 
Baada ya Raila kuanguka naona wafuasi wa Magufuli wa JF wameamua kujifariji kwa kumuunga mkono Ruto kwa mtindo tofauti. Mlikuwa wapi kuyasema hayo hapo kabla?
Siku zote mmekuwa mkimuita Ruto ni mwizi, fisadi na mroho wa madaraka ndani ya serikali ya Uhuru (mkimfananisha na Lowassa wa 2015), leo mmegeuka na kusema Ruto ni mpenda siasa za wanyonge!

Sote tunajua Raila ndio alikuwa anajifananisha au kufananishwa na Magufuli, akisema na kusemwa kuwa alikuwa akimshauri au kukubali kushauriwa na Magufuli.

Na sote tunajua (tena kwa uhakika) kuwa Magufuli na Raila walikuwa ni marafiki wakubwa wa kufa na kuzikana. Kwanini msisimamie hapo hapo?
 
Wewe ni mkenya?
 
Mwanaharakati Joel Omondi amesema Rais mteule wa Kenya Dr Ruto katika kampeni zake alitumia mbinu za hayati Magufuli ili kujenga kukubalika na wapiga kura

Omondi amesema Ruto alijishusha kwa Watu wa Chini kabisa wale Jua kali na mama mboga huku akijiita yeye ni " chicken seller"

Hata uvaaji ni ule ule wa hayati Magufuli kwenye kampeni, amesema Omondi

Mungu ni mwema wakati wote!
Magufuli alikuwa anafanya uhuni wa kuiba kura kwa bunduki. Kwani alipigiwa kura! Mpaka leo watu wana makovu mwilini na wengine walikufa!
 
Baada ya Raila kuanguka naona wafuasi wa Magufuli wa JF wameamua kujifariji kwa kumuunga mkono Ruto kwa mtindo tofauti. Mlikuwa wapi kuyasema hayo hapo kabla?
Siku zote mmekuwa mkimuita Ruto ni mwizi, fisadi na mroho wa madaraka ndani ya serikali ya Uhuru (mkimfananisha na Lowassa wa 2015), leo mmegeuka na kusema Ruto ni mpenda siasa za wanyonge!

Sote tunajua Raila ndio alikuwa anajifananisha au kufananishwa na Magufuli, akisema na kusemwa kuwa alikuwa akimshauri au kukubali kushauriwa na Magufuli.

Na sote tunajua (tena kwa uhakika) kuwa Magufuli na Raila walikuwa ni marafiki wakubwa wa kufa na kuzikana. Kwanini msisimamie hapo hapo?
Wanafik sana hao viumbe. Baada ya kutuombea mabaya, wakitaka wakenya tupigane na kuuana sasa wamerudi tena kwenye shobo zao. Wakijaribu kumfananisha Ruto na yule mshamba, mwendazake. Bure kabisa.
 
Dr. Ruto ni role model, from zero to hero, a God fearing person na ni mtu anayeshukuru na kumtumainia Mungu. Angalia video hapo chini. Huyo mwingine sijui
View attachment 2328897
God fearing wapi fisadi huyu, yaani mtu anayepata utajiri baada ya kushika nyadhifa serikalini ndio hustler?

Mtakuja hapa baada ya mwaka muone ufisadi wa kutisha, tuache kuwapa watu hizi tag za God Fearing wakati hata ofisini hajaingia.
 
Back
Top Bottom