kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Wakuu
Hapa naelekea Mitaa fulani ya hapa Mwenge kupata moja moto moja baridi
Yaani leo ni raha yaani leo ni mwendo wa kugawa bia tu bajeti ya leo nipo radhi hata 500k iishe
Ukizingatia na wife hayupogo [emoji91][emoji91][emoji91]Leo bia zinahusika tunywe tulewe tusherehekee
Sabaya kwishaaa
Mwendazake kwishaa
Legacy kwisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani leo ni raha sana wakuu[emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]