On ma way nikienda Bar kulewa hukumu ya sabaya imenifurahisha

Leo raha sana wakuu

Natamani niwakusanye wote leo tunywe tusherehekee

Ndugu zangu wananiambia huko Moshi ni mwendo wa bia, nyama choma za ngombe, kitimoto na mbuzi na kuku

"Asikwambie mtu bia tamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Leo ni siku ya kulewa tu na kusherehekea
Utoto unakusumbua wewe,sisi Arusha hatunaga ujinga huo unaowaza labda muende huko kiboroloni moshi KWA walevi wenzenu
 
Sabaya ametenda makosa ni kweli. Lakini hakuna ufahari wowote kwenye kufurahia matatizo ya binadamu mwenzio.

Maisha hayana formula hata wewe unaweza kujikuta jela miaka 30 hata kwa kusingiziwa. Muombe mola akuepushie mitihani ya dunia.

Love love love.
 
Leo raha sana wakuu

Natamani niwakusanye wote leo tunywe tusherehekee

Ndugu zangu wananiambia huko Moshi ni mwendo wa bia, nyama choma za ngombe, kitimoto na mbuzi na kuku

"Asikwambie mtu bia tamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Leo ni siku ya kulewa tu na kusherehekea
Sikufurahishwa na vitendo vyake kwa watu Wengine lakini namuonea huruma na Maisha ya jela
 
Huyo mbona anatoka tu kwa rufaa? Hukumu hiyo ni siasa tu
 
Siku ya Mbowe nayo wanywe bear na nyama choma. Ole SABAYA. Ni justification ya kinachokuja kutokea
 
Sabaya ametenda makosa ni kweli. Lakini hakuna ufahari wowote kwenye kufurahia matatizo ya binadamu mwenzio.

Maisha hayana formula hata wewe unaweza kujikuta jela miaka 30 hata kwa kusingiziwa. Muombe mola akuepushie mitihani ya dunia.

Love love love.
Watu wanafurahi haki kutendeka sio sabaya kufungwa

Sabaya ni mtu mmoja tu kati ya milioni 60
 
Leo raha sana wakuu

Natamani niwakusanye wote leo tunywe tusherehekee

Ndugu zangu wananiambia huko Moshi ni mwendo wa bia, nyama choma za ngombe, kitimoto na mbuzi na kuku

"Asikwambie mtu bia tamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Leo ni siku ya kulewa tu na kusherehekea
 
Leo raha sana wakuu

Natamani niwakusanye wote leo tunywe tusherehekee

Ndugu zangu wananiambia huko Moshi ni mwendo wa bia, nyama choma za ngombe, kitimoto na mbuzi na kuku

"Asikwambie mtu bia tamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Leo ni siku ya kulewa tu na kusherehekea
When you become public enemy!
 
Nashangaa hapo dodoma platnum 4g kuna watu wanasheherekea pia hata sielewi bia tamu imerudiwa kama mara 6
 
Ujambazi siyo aisee
Unaweza fanya tukio la kijambazi bila kujua ndio ujambazi wenyewe mpaka ushikwe.

Kwa kifupi usiombee uingie kwenye mtego, hasa kama wewe ni mwanaume.

Ndio nyie mnawachukia wabakaji,wakati mshapiga sana "mande" mademu huko nyuma sema hamkuripotiwa.

Mnaiba kwa "peni" mkidhani mna tofauti na wanaoiba kwa bunduki.

Kama namuona makonda akiwaza mengi
 
Back
Top Bottom