On ma way nikienda Bar kulewa hukumu ya sabaya imenifurahisha

Mbowe ajiandae he is next. SABAYA is justification of what is going to happen
 
Mbowe akining'inizwa maisha msilalamike.

Tusije kusema mahakama hauko huru tumeona kwa Sabaya.
 
Kama uyasemayo ndiyo unamaanisha, mimi nakushauri kunywa 2 tu na marafiki zako, tena mnywe mkitafakari.

Msifurahie Sabaya kufungwa bali mtafakari kama raia namna gani tunaweza kuzuia watu wa aiana ya Sabaya, Bashite na Mwendazake kupewa madaraka makubwa, hata wakaleta mateso na majuto kwa watu wasio na hatia.

Ukimaliza zako 2, rudi.nyumbani. Mshukuru Mungu maana umekutenga na uovu wa kutisha, na uombe Mungu aendelee kuishi ndani mwako wala shetani asikutumie kutenda uovu kama ilivyokuwa kwa Mwendazake, Sabaya, Bashite, na genge lote.
 
Hongera ila tahadhari uwe makini maana usijebugi nawe ukabigwa Miaka ya kutosha JELA
 
Hukumu ya sabaya ni utangulizi tu kuna mtu atakula kifungo Cha maisha ili ionekane kuna balance
 
Kayafanya Mengi mabaya na huenda hayo ndo malipo ya ubaya alio utenda
Lakini mm binafsi sioni umuhimu wa kufurahia mtu kufungwa miaka 30 kwakua jela huwa haina mwenyewe Cha muhimu ni kumuomba Mungu akuepushe na mitihani ya dunia tu.
 
Mkuu ntumie hata 10k tusherekee wote
Bado ntakua sijatingisha budget 490k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…