On ma way nikienda Bar kulewa hukumu ya sabaya imenifurahisha

Utoto unakusumbua wewe,sisi Arusha hatunaga ujinga huo unaowaza labda muende huko kiboroloni moshi KWA walevi wenzenu
 
Sabaya ametenda makosa ni kweli. Lakini hakuna ufahari wowote kwenye kufurahia matatizo ya binadamu mwenzio.

Maisha hayana formula hata wewe unaweza kujikuta jela miaka 30 hata kwa kusingiziwa. Muombe mola akuepushie mitihani ya dunia.

Love love love.
 
Sikufurahishwa na vitendo vyake kwa watu Wengine lakini namuonea huruma na Maisha ya jela
 
Huyo mbona anatoka tu kwa rufaa? Hukumu hiyo ni siasa tu
 
Siku ya Mbowe nayo wanywe bear na nyama choma. Ole SABAYA. Ni justification ya kinachokuja kutokea
 
Watu wanafurahi haki kutendeka sio sabaya kufungwa

Sabaya ni mtu mmoja tu kati ya milioni 60
 

 
When you become public enemy!
 
Nashangaa hapo dodoma platnum 4g kuna watu wanasheherekea pia hata sielewi bia tamu imerudiwa kama mara 6
 
Ujambazi siyo aisee
Unaweza fanya tukio la kijambazi bila kujua ndio ujambazi wenyewe mpaka ushikwe.

Kwa kifupi usiombee uingie kwenye mtego, hasa kama wewe ni mwanaume.

Ndio nyie mnawachukia wabakaji,wakati mshapiga sana "mande" mademu huko nyuma sema hamkuripotiwa.

Mnaiba kwa "peni" mkidhani mna tofauti na wanaoiba kwa bunduki.

Kama namuona makonda akiwaza mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…