Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Anyone take a guess?
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni msomaji wa vijarida
Anasoma kijarida alichokiasisi cha CHECHE ZA FIKRA
Ni Mkristo safi Mhesh Freeman hasa siku kama ya leo mida ya jioni hiki ndicho kitabu anachokisoma mara kwa mara
![]()
Why not.Is he Blind?
Kwamba sasa ana wabunge 4 wa kuchaguliwa,
Na kwamba 2010 watapungua hadi kuwa 1 na baadae kuwa 0 kama TLP/Mrema.
heri 4 wenye akili kuliko malukuki ambao hawako independent.Kwamba sasa ana wabunge 4 wa kuchaguliwa,
Na kwamba 2010 watapungua hadi kuwa 1 na baadae kuwa 0 kama TLP/Mrema.
Calnde, there's more to reading than just being literate
So you wanted to know if Mbowe is Literate?
Well, waarabu wa Pemba! Nikisema utoa chembe ya ushahidi utasema ulikuwa ni mzaha lakini lengo lako ni kutaka kudanganya watu kwa kusema kitu ambacho hauna chembe ya ushahidi isipokuwa kufanya kile ambacho ninatuhumiwa mimi kufanya. Well, join the line.