On Mbowe: Man, Family Life and Politics

On Mbowe: Man, Family Life and Politics

Status
Not open for further replies.
Who is Mbowe; this is useless talking to people just because he will not response to your prepared attack you have; otherwise this article is of no use; Think BIG; dont think small; This is not UDAKU my friend who talks about people; present a policy debate my friend otherwise you are forcing guys to think small; let us have a Big dream
 
We should talk about POLICIES jamani la sivyo tutaanza umbeya hapa ambao hata wanaosema hatawajui na pengine hawataki tuwajue; lets talk about policies; policy ipi inaweza kututoa hapa tulipo kusonga mbele; naona watu hatujajifunza; Obama ameshinda kwa sababu ya sera; mpinzani wake alidhani ukimshambulia mtu utashinda; chukua tarime CCM ilienda na sera moja tu kifo cha wangwe; ndg zake wangwe wakanununuliwa; chadema ikajikita kuwaeleza watu ktk sera; mliona; naombeni sana tuanze kuongelea sera ipi itaweza kututoa baada ya hiyo CCM kushindwa; watu wanaweza hata ku-sugest changes ktk hiyo policy wanayoitaka ili mabadiliko yaje haraka; hope all of us have a dream that one day Tanzania will be ruled by a party that understands the need of the poor people; 2005 acute poor was 11.1M people; 2007 acute poor people were 12.7M; Think big; think how to get out of acute poorness we have though even america knows we have resources; we should have a dream na kuacha umbeya; ili taifa lisonge mbele

if thats the case then i would like to see a counter argument to my second post
 
Who is Mbowe; this is useless talking to people just because he will not response to your prepared attack you have; otherwise this article is of no use; Think BIG; dont think small; This is not UDAKU my friend who talks about people; present a policy debate my friend otherwise you are forcing guys to think small; let us have a Big dream

Already getting EMOTIONAL...ohh dear!

you seem to be missing the points I made in my second post
 
Not emotional real; would you tell me the Kikwete being thought to being man of people; person who had no bussines; person who had no issue(mr clean), whom Tanzanian thought to get the Messiah;where are those; where are the New zeal they were being preached; but being cleanis not an issues if you are in dirted policies you can not get out; that why im real worried if the thread has a meaning for elite; who thought of real changes; policy changes; Mbowe may be simply very suitable provided he is in a party which has perfect policy by the people for the poeple; but there others; but are they in subsjected to the policy that can work? The presidents are not ruling they managingaccording to the available policies; I simply afraid 'UMBEYA' talking to poeple thats limiting the mind; He may be Mnyika; He may be Zitto; Slaa;Kamesera; Mwikwabe or any person provided the policies are not dirted as we have seen for the past 50 yrs almost not
 
its also important to be

-competent ( which he is not)

-coherent ( which he is not)

- decisive ( which he is not)

kind regards
 
GT you can do better than this .Hivi leo tunataka kuongelea Mbowe akiwa ni mmoja ya matatizo katika Nchi na maisha yetu ya kila siku ? Ama akiwa kama mmoja wa watendaji wetu serikali ambaye anatunyima maisha au tuna muongelea kwa kuwa mnataka tumuongelee ?

We discuss Chadema kwa ujumla wake na Mbowe na mambo uliyo yasema GT you seem to be missing the whole thing on him and Chadema .Rudini huko mliko mje msemee hapa hapa karibu baada ya kuona Mbowe ni nani katika maisha halisi ya Watanzania badala ya hivi kuanza mkiwa katika baridi na majumba ya wazungu .Ushauri wangu tu .
 
Haijafa, inafanyiwa ukarabati mkubwa. Pamoja na Bilicanas, Mbowe anamiliki pia hoteli nyingine inaitwa Protea Aishi-iko Moshi. Sijui kama ana biashara nyingine zaidi ya hizo

Kuna Protea Dar, na hiyo ni yake? Kwa hiyo huyu anavijisent vyake vya kumtosha hajafanya ufisadi. Mtu kutokuwa fisadi ni sifa katika sifa ambazo presedent to be anatakiwa awe nayo-Mkapa type-meaning hakuwa fisadi before hajawa pesident.
 
GT you can do better than this .Hivi leo tunataka kuongelea Mbowe akiwa ni mmoja ya matatizo katika Nchi na maisha yetu ya kila siku ? Ama akiwa kama mmoja wa watendaji wetu serikali ambaye anatunyima maisha au tuna muongelea kwa kuwa mnataka tumuongelee ?

We discuss Chadema kwa ujumla wake na Mbowe na mambo uliyo yasema GT you seem to be missing the whole thing on him and Chadema .Rudini huko mliko mje msemee hapa hapa karibu baada ya kuona Mbowe ni nani katika maisha halisi ya Watanzania badala ya hivi kuanza mkiwa katika baridi na majumba ya wazungu .Ushauri wangu tu .

Would you counter argue my second post?
 
How about replacing Mbowe with ZITTO....that isnt a bad idea what do you think?
 
its also important to be

-competent ( which he is not)

-coherent ( which he is not)

- decisive ( which he is not)

kind regards

Sasa GT,kama tayari ulikuwa na majibu haya,what was your point ya kuleta topic hii tuijadili in the first place?If you have already concluded that Mbowe is too incompitent,too indecisive and too incoherent to lead Chadema,or for that matter being a potential TZ presidential candidate,what would you expect JF to do about it?Why not start campaigning for his removal,disqualification,etc from his position (hoping you would come up with a name you consider having desired qualities)?A letter to Msajili wa Vyama vya Siasa,for example....or Chadema's NEC...or even an online petition

Perhaps it's high time you make an assessment of your current strategy if it is really working,and if not why not come up with an effective one?Kwa vile Zitto na Slaa ni members wa JF,i'd advise you to PM them about your proposal.
 
Nothing wrong with discussion ndio maana tukaambiwa JF WHERE WE DARE TALK OPENLY

kwa nini mnaogopa huyu mheshimiwa akijadiliwa?

tunamjadili JK kila kukicha
 
Game Theory,

Mkuu itakuwa unajaribu kumwonea Mbowe kwa sababu hakuna kiongozi hata Mmoja tanzania tunamfahamu kama unavyotaka kujua. Sii Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Lipumba Hamd Seif, Cheyo, Mtikila wala nani.. Kuna machache sana tunayafahamu kuhusiana na watu hao, hizi ndio Politics za Kiafrika. Nyerere alipoingia TAA hakuna mtu aliyemjua hata kidogo ila alipofumbua mdomo wake tu watu walisema YES huyu ndio mtu wetu....
Same happens to Obama, mkuu mimi siwezi kusema Uongo, nimesikia Obama miaka 2 tu iliyopita na kilichonivuta zaidi ni fikra zake, malengo yake jinsi anavyoweza kuwa mvumilivu wa hoja na bila shaka accomplishments zake!
 
"all this after being born in the royal family, the house of Mbowe" Will some one in the know please elaborate for me? Was Aikaeli Mbowe the mangi of machame at some point?
 
Ha ha haaa. Topiki zingine bwana!

Hapa wana sisiemu uwanja wenu wa kurusha madongo.

It is an interesting topic any way at its level (umbeya-type).
 
GT mimi napenda kutofautiana au kushauri kubadilisha mtazamo na kuangaria zaidi jinsi ya kubadilisha mtazamo wa wapiga kula kwa sababu zifuatazo:
1. Hisitoria inaonyesha watanzania bado hawajapata elimu ya mwamuko wa mabadiliko ya kweli.
2. Watanzania wanachagua ccm na sio sela za chama au uwezo wa mtu (hili liko wazi asilimia miamoja)
3. Ni jukum letusote kuleta mabadiliko ya kweli kwenye hii nchi yetu inayofirisiwa na wajanja wachache.
4. Hatupaswi kujadili jina la mtu ila ni kuandaa vigezo vya mtu ambaye tunafikiri anaweza kutuongoza na kumtafuta, kumwandaa, kumnadi na hatimae kumpigia kura

Tukifanya hivyo mabadiliko yakweli tutayapa, na kama tukiendeleza hii tabia ya kumuongerea mtu mmoja haitatusaidia.
naomba kuwasilisha hoja.
 
Mkuu GT kwani Mh Mbowe keshatangaza kugombea Urahisi?

Ama unazungumzia uongozi wake CHADEMA na huku ukiassume kuwa ni mgombea urahisi?

Nafikiri umaarufu wa CHADEMA unawawewesesha baadhi ya wadau na wakiangalia kwenye top wanaona ni Mbowe na hivyo wanadhani kuwa ni mgombea urahisi.

Mimi nadhani mods waifunge hii hadi itakapotangazwa rasmi kuwa anagomebea urais ama mchakato utakapoanza ndani ya chama nk.

Pia kama kuna uchaguzi wa mwenyekiti mpya then bado tunaweza kufanya hivyo....

Tofauti na hapo labda umjadili Mbowe kama Mbowe bila kuhusisha ugombeaji urahisi...Yani kama uko interested na personal life ya Mbowe kwasasa bila vigezo muhimu vya kufanya hivyo kwasasa.

Pia Mkuu GT nashangazwa sana kwa wewe kujidai ni mgeni hapa JF na wakati we mkongwe hapa...Mijadala ya Mbowe umesahahu toka enzi za Kada Mpinzani?

Ama naota?
 
Come on, this man could the next president and you dont us to know anything about him and his policies?
What is it? fearing the unknown?

Tafadhali rekebisha hayo maneno kabla ya wataalamu wa lugha hawajashtukia au ni typing error!
 
Watanzania bana tumezidi...wakati Obama/Hillary/Palin wanakuwa attacked tulikuwa tunafurahia na tunasema angalia demokrasia inavyofanya kazi wakiguswa wapinzani wetu tunakuwa sensitive na emotional ghafla ebo!!!
 
GT,
I would have loved to engage you in this topic but like Tido Mhando who is a personal friend, Freeman Mbowe is a close relative. So I will sign out. On the other hand let me just say one thing: if the helicopter was not effective how come CCM brought 2 to Tarime?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom