Hahahaha dah huyu mtoto inabidi atue kwanza kwa wazawa kwanza.
mwaka juzi nilikua na appointment na demu mmoja, sauti yake tamu balaa, si nikajua kasista duu, mkuu alipotokea sikuamini, kamama kamekomaa balaa, ikabidi niwe mpole.
Kwa Mfojo nini mkuuKaribu home. kama unapendaga mishikaki niPM nikwambie sehemu wako nayo ya imataifa dar nzima hakuna!
Kwa Mfojo nini mkuu
Mfojo(kwa sehemu nilizokula mishikaki) hana mpinzani mpaka dakika hii,jamaa ni mtaalamu haswaaa wa kutengeneza mishikakiEwaa mkuu hapo ndo umenifahamu kabisaa,, kule tabata karibu na segerea kule haina kwere.....hahahah nambie kama kuna mshindani pale?
duh, mbele ya SHORIZZZZZ mpaka namba za simu zinatoka live!
teh teeeh ahaaaaa si mchezo, unapanga appointment pale kilima nyege kwa mbele (Jackies) unashangaa limetokea dume la mbegu unyoya umesimama miguuni kama miba ya nungunungu!
Hauxtable inamaa hizo chipsi vumbi zitakuwa tamu zaidi ya zile za pale kinondoni?...maana miye ndiyo nilikuwa nazipigia hesabu za pale aiseee!...nimezimiss sana sana tuu...basi tutafutane unipeleke kwenye hiyo new joint ya chips vumbi nazi mind sanaaaaa....
Epuka Chips za mitaani, Ukitaka chips nenda sehemu zinazoeleweka japo ni expensive hizi chips za kando ya barabara kama Pale kwa Manyanya kwenye bar nyingi wanakaanga kwa kutumia "Mafuta ya kula yaliyochanganywa na mafuta ya transformer" Tomato source na chilli source ni chachandu iliyotengenezwa kwa nyanya za masala " Yaani nyanya mbovu zilizopondeka na kuharibika". Angalia usije zidisha vacation yako kwa kulazwa hospitali kwa diarrhoea