On my way to TZ!..

On my way to TZ!..

Hahahaha dah huyu mtoto inabidi atue kwanza kwa wazawa kwanza.

Mkuu kua makini, mi nikiwa na date na totoz za online, siku tukipanga appointment mfano pale buffalo saa kumi jioni, basi mi nafika eneo la tukio nusu saa kabla kusikilizia kwanza.

Mwaka juzi nilikua na appointment na demu mmoja, sauti yake tamu balaa, si nikajua kasista duu, mkuu alipotokea sikuamini, kamama kamekomaa balaa, ikabidi niwe mpole.
 
mwaka juzi nilikua na appointment na demu mmoja, sauti yake tamu balaa, si nikajua kasista duu, mkuu alipotokea sikuamini, kamama kamekomaa balaa, ikabidi niwe mpole.

Hahahaha hii mbona hata wao mademu iwa wanafanya hivyo hivyo mzee.
 
Nakutakia safari njema,ila utakapokuwa huru basi tunaweza kuonana tukabadilisha mawaili matatu then mambo yana kuwa mswanu tu.
See you later on.
 
Jamani wanaJF

Shem wangu Kellyo1, amewasili Tanzania, salama nimetoka kuongea naye muda si mrefu ana keep up na familia kwanza anashukuru sana kwa PM zenu na wale waliompatia namba za simu atawatafuta, ataanzia Dar, Arusha, Iringa na kumalizia likizo Dar kabla ya kuondoka.

Hataweza kuaccess JF mara kwa mara maana itabidi awe anakwenda cafe, amenipa password yake ya JF...kwa muda kama week tatu nitakuwa natumia ID yake. Mkiona najibu mfahamu ni mzee Masa anamwakilisha shem wake

Thank you!

Mas
 
Kelly kafikwa na babu yake....yupo safarini sasa hivi kuelekea Njombe kwa msiba...kwa wale wanaotokea njombe nadhani mtakuwa mnamjua huyu mzee maharufu Njombe mzee Mbanga....

Utaonana na wawili watatu akirudi Dar akitoka kwenye Msiba

RIP Mzee Mbanga
 
Ewaa mkuu hapo ndo umenifahamu kabisaa,, kule tabata karibu na segerea kule haina kwere.....hahahah nambie kama kuna mshindani pale?
Mfojo(kwa sehemu nilizokula mishikaki) hana mpinzani mpaka dakika hii,jamaa ni mtaalamu haswaaa wa kutengeneza mishikaki
 
duh, mbele ya SHORIZZZZZ mpaka namba za simu zinatoka live!
teh teeeh ahaaaaa si mchezo, unapanga appointment pale kilima nyege kwa mbele (Jackies) unashangaa limetokea dume la mbegu unyoya umesimama miguuni kama miba ya nungunungu!
icon10.gif
icon10.gif


Mkuu heshima kwako....
 
Hauxtable inamaa hizo chipsi vumbi zitakuwa tamu zaidi ya zile za pale kinondoni?...maana miye ndiyo nilikuwa nazipigia hesabu za pale aiseee!...nimezimiss sana sana tuu...basi tutafutane unipeleke kwenye hiyo new joint ya chips vumbi nazi mind sanaaaaa....

Epuka Chips za mitaani, Ukitaka chips nenda sehemu zinazoeleweka japo ni expensive hizi chips za kando ya barabara kama Pale kwa Manyanya kwenye bar nyingi wanakaanga kwa kutumia "Mafuta ya kula yaliyochanganywa na mafuta ya transformer" Tomato source na chilli source ni chachandu iliyotengenezwa kwa nyanya za masala " Yaani nyanya mbovu zilizopondeka na kuharibika". Angalia usije zidisha vacation yako kwa kulazwa hospitali kwa diarrhoea
 
Epuka Chips za mitaani, Ukitaka chips nenda sehemu zinazoeleweka japo ni expensive hizi chips za kando ya barabara kama Pale kwa Manyanya kwenye bar nyingi wanakaanga kwa kutumia "Mafuta ya kula yaliyochanganywa na mafuta ya transformer" Tomato source na chilli source ni chachandu iliyotengenezwa kwa nyanya za masala " Yaani nyanya mbovu zilizopondeka na kuharibika". Angalia usije zidisha vacation yako kwa kulazwa hospitali kwa diarrhoea

Sehemu zinazoeleweka ndio hazitumii mafuta ya transformer? Ndio hazitumii tomato na chili feki? Umethibitisha? Na umethibitishaje? Hivi Tanzania kuna sehemu inayoeleweka kwenye hili suala la viepe? Wapi? Kempinski?
 
Back
Top Bottom