GP
JF-Expert Member
- Feb 5, 2009
- 2,049
- 161
Hahahaha dah huyu mtoto inabidi atue kwanza kwa wazawa kwanza.
Mkuu kua makini, mi nikiwa na date na totoz za online, siku tukipanga appointment mfano pale buffalo saa kumi jioni, basi mi nafika eneo la tukio nusu saa kabla kusikilizia kwanza.
Mwaka juzi nilikua na appointment na demu mmoja, sauti yake tamu balaa, si nikajua kasista duu, mkuu alipotokea sikuamini, kamama kamekomaa balaa, ikabidi niwe mpole.