.
Gavana yuko level ya CEO wa makampuni makubwa, si ndio mwenye ile sahihi utakaiona kwenye noti mpya ya Sh. 20,000/=, 50,000/= na 100,000/= zitakazo toka hivi karibuni.
Nini spika, hivi unajua kuna ma CEO wanalipwa kuliko rais wako. Hivi unajua kuna mashirika yana mahekalu, Ikulu ni cha mtoto?.
Nlichosema, kama Spika aliishi nyumba fulani kwa kipindi kirefu, leo kawa Spika, kadai nyumba ya hadhi yake, serikali haina, imempangishia kodi milioni 10 kwa mwezi. Sasa kuna ubaya gani kama BOT wameona nyumba ya hadhi ya gavana wao ni 1.4 Bil.
Angalizo, jamani nyumba sio ya Ndulu, ni nyumba ya gavana.