Mkuu bilioni moja kama haitokani na kodi ya walimu ni nothing lakini kama ni kodi ya walimu na manesi na wavujajosho wengine it is something.Umeeleweka vizuri sana mkuu!
kwa sisi tulipo kwenye field ya construction tunayajua mengi zaidi...!kuyaongea hapa kwakweli ''tunaogopa''!
lakini SHORT AND CLEAR;bilioni moja IS NOTHING BWANA!.....ukilinganisha na nyumba ya jk ile au mahekalu ya mabosi wangu ''wa-asia''...?billion moja sio pesa
Nami naingiwa na wasiwasi huyu mengi huenda si muungwana.Magazeti yake yamengangania kusafisha uondo kulikoni?A day before, (Tuesday) the same newspaper had a similar article as its lead (`Experts: Why furore over BoT's residency?) which suggests that the owner of the newspaper must be behind this crap for God knows reasons. Perhaps this kind of campaign will lead to exposing the real Reginald Mengi in the on-going anti-corruption crusade and his real motive in trying to show (read fool) Tanzanians he is a real philanthropists who wines and dines with our top government, religious and army leaders.
I'm stunned and absolutely flabbergasted by the following form of apologia by one of the most respected English daily
Escaping thug jumps onto.....
!....at around 2pm at midnight
.
Gavana yuko level ya CEO wa makampuni makubwa, si ndio mwenye ile sahihi utakaiona kwenye noti mpya ya Sh. 20,000/=, 50,000/= na 100,000/= zitakazo toka hivi karibuni.
Nini spika, hivi unajua kuna ma CEO wanalipwa kuliko rais wako. Hivi unajua kuna mashirika yana mahekalu, Ikulu ni cha mtoto?.
Nlichosema, kama Spika aliishi nyumba fulani kwa kipindi kirefu, leo kawa Spika, kadai nyumba ya hadhi yake, serikali haina, imempangishia kodi milioni 10 kwa mwezi. Sasa kuna ubaya gani kama BOT wameona nyumba ya hadhi ya gavana wao ni 1.4 Bil.
Angalizo, jamani nyumba sio ya Ndulu, ni nyumba ya gavana.
I'm mad as hell.. is this the best that Mengi's newspaper can come up with in defence of corruption!..? Sometimes I think we have some problems.. but other times the extent of the problems seems to be beyond the range of mathematical probability!
HILI LI SHE*&ZI NDULU linatufanya watanzania wote mabwege sio..,sasa kufanya kazi kwake WB,IMF alishindwa kujenga miaka yote hiyo?!huyu ni mtanzania kweli?hata waalimu wa sekondari wanajibana wanajenga nyumba zao,itakuwa huyu aliyekuwa WB?
sababu ya kupanga ni nini??at his age 50+ he should have a house.kama hana nyumba hafai kuwa governor.
kukaa nyumba inayocost nusu ya mshahara wake ni matusi kwa watanzania wanaoliwa laki tatu na hata posho ya elf kumi kwa mwezi hawapati!
Ndulu hajashindwa kujenga nyumba. Ana Nyumba Mbezi Beach na nyingene sehemu nyingine ambayo sitaitaja hapa. Nyumba inayosemwa hapa ni ya Gavana wa Benki kuu.
And go to Japanese to ask them assist us to build toilets for our schoolswhy don't they advice the BoT to buy him (the governor) a Gulfstream 500 too and lease him a luxury boat in the name of whatever reason they have to justify the 2 houses!?
QUOTE=Kimweri;753454]Stop arguing alike a 12 year old who just read forbes.We are all aware of the multimillionaire CEO's.Mr.Ndulu is not a CEO.he is a gadem governor of a gadem BOT a public institution within the republic of Tanzania which happens to be ballooning around the bottom of GDP list.
the case here is the justification to spend 1 million dollar of public bills to house an A$$ that would do just fine in a $50k house.
I'm just 12 yrs old, and read forbers, japo humo sijamuona Ndulu.
Kimweri, call him gadem governol of gadem BOT, or call what you may, Hoja yangu hiyo 1.4 bilion is spent on something visible, the building is there, mbona hampigi kelele kwenye billions spent on nothing visible. Kama governol wa federal reserve can stay in a million dollar house, why not gavana wetu?. Do you know Mkulu stays at $ 1200 suite per day kila akisafiri?. Do you know such amount is spent only on a single trip?. What is a big deal kuhusu hii nyumba?.
Mbona tumenunua rada na gulf stream?. Hii ndio Tanzania, tufuate wito wa Mzee Mwanakijiji, tupunguze kulalamika twende kwenye kutenda.
.
Mzee Mwanakijiji, nyumba ya 1.4 Biliion ni nyumba ya Gavana, siyo nyumba ya Ndulu. Kila kitu kilipangwa kabla ya ujio wake.
Nyumba anayokaa ni nyumba ya Benno Ndulu siyo ya gavana, sasa maadam imetokea gavana ndie Benno Ndulu, mwache akae nyumba ya stahiki yake.
Kwa walio dar, si mnapajua pale kwa JK, piteni muune, nini bilioni 1.4!, majirani wamehamishwa hekalu linateremka, si JK yule yule aliyeishi hapo miaka yote?, why now?.
Kama kuna nyumba za mpaka bilioni 10 ila kwa vile ni za wahindi, hao hao wanaoendesha serikali kwa remote, hizo ni hizo hizo top up za rada, gulf stream etc, hatusemi, lakini akijengewa mwenzetu!.
Mtu wa kwanza kuendesha Ferari bongo Bongo ni mhindi, wa pili mwarabu, mswahili bado sijaona na akitokea ataitwa fisadi.
Nasisitiza siungi mkono matumizi yoyote mabaya ya fedha za umma, bali siungi mkono shutuma kwa matumizi yanayoonekana, japo mabaya, huku tuko kimya kwa mabilioni na mabilioni yanatumiwa kwa vitu visivyoonekana.
Pale kwa gavana, si angalau jengo lipo, nimewaambia kila safari moja ya mkulu, zinatumika zaidi ya hizo, kipi kinaonekana?.
Tumemlipa Prof. De Sotto, consultancy ya Dola, 1,000,000 kwa siku moja iliyokuja nchini, tunawalipa wangapi kwa huduma kama hiza and what do we get there after? Si afadhali hapo jengo la hadhi ya gavana lipo?.