On Second Thought

hapo unakuta kuna sharti kwamba acwe amekunywa pombe akiwa amekunywa umeharibu dose, kwa cc wenye wanaume wanywji cjui tutatumia mbinu gani cku hiyo asionje hata mbege...khaa hii ni adhabu/kupotezeana muda tu.


hahahahaaaaaaaa nimecheka lol hasa upate mme wa kichaga utamkamatia wapi? na wengine wanasema lazima uifanye kabla ya wiki halafu walevi wana machale usiombe matokeo yake hiyo dawa kama imewekwa kijini kinachoka kufungiwa kinakuvaa wewe unaachiwa watoto unabaki unagaagaa hata kutoka ukapunguze mawazo na wapwaz unashindwa una watoto watatu wanakuangalia kwi kwi kwi aku mie kama hanipendi aende tu
 
Hane napenda ulivyokuwa korapted na lugha za kitekonlojia....:love:
Hili la kupeana nafasi ndo mapenzi yenyewe..sio ndio? Yaani kama unampenda hutamkaba sana...

yaani nimekuwa mwathirika na hii kitu jamani, mpaka jina la mwanangu nalikoroga, nikimtumia msg mama nyamayao lazima airudishe aniuleze"hiyo mbili ina maana gani"...yeye anasema mbili mie nilimaanisha u2ambie"utuambie"...haaaa kazi kweli kweli....my love mapenzi matamu ni ya kupeana nafac na pumzi pia jamani, huwa yananoga sana kuna wakati mmamisiana mkikutana mambo yanakuwa mambo, haya ya mbanano mie ningeyashindwa kabisa, halafu najiuliza kama uliamua kunitongoza mwenyewe mpaka tukafikia labda kuoana c mapendo yalitufikisha huko? iweje nitake tena pendo la zaidi ya hapo kwenye moyo wa mtu anakuwa kalifichia wapi jamani kama sio kutiana wehu maisha haya!
 
Haswaaa mpenzi wangu .........lengo la kuiweka kihivyo mada hii ilikuwa hilo!! Kupata more views ya watu wanalionaje nyonda wangu si kwamba ninalifagilia ati.........mbona sijakuwekea na bado napendwa nawe nyonda mkalia ini langu la kulia??
 

Maty...kwenye pombe hakuna mchaga wala msukuma, mie msukuma wangu kulala kichwa wazi ni mpaka awe na dozi sasa mkinipa hii adhabu hamuoni ntamlazimisha/ntajilazimisha 2kapime malaria ili nipate hiyo chance?...kila binadamu ameumbwa kupendwa...kila mtu ana wake chini ya jua jamani, ni jambo la kuvuta muda tu, habari za kuwalisha watoto wa wenzenu nyama zilizovunda kisa awe wako mwenyewe sio kabisa, unamtaka wako mwenyewe "muumbe"...nafac muhimu kwenye mapenzi.
 
In which thought are we now...3rd or 10th thought....
 
.....Daym..............Babu chukuwa miwani yako citaki tena...
 
.....Daym..............Babu chukuwa miwani yako citaki tena...

haaa ndio hivyo dearest, hata kama yupo hapo home tu lakini lazima anywe kama yupo fit...sasa huyu hafai kumwekea haya mabo kabisa...hahahaha
 
Kwahiyo hii thought mmekubaliana kuwa Tego ni jibu sahihi la limbwata au limbwata ni nyama ya ulimi?

Swali kwa MJ1:
Inakuwa vipi kwa sisi wenye chama chetu ukajikuta bibi kakuwekea limbwana na infii naye kakuwekea limbwata?

Swali kwa wajukuu:
Utafanya nini ukigundua mmeo kawekewa limbwata na mpango wake wa nje?

Swali kwa infii:
Mnaonaje leo tukikutana tukajadili namna ya kukwepa malimbwata na namna ya kuwawekea mai waifu zetu tego? (Sababu nyingine ya kukutana ili tunywe bia):welcome:
 
Mmh mada hii imenikuna.Mi nilifikiri wanawake wa kiswahili tu ndio wana imani na libwata kumbe hata wasomi...MJ1 kulikoni ingawa nimekuelewa kwa kina kuhusu hili.
 
Mmh mada hii imenikuna.Mi nilifikiri wanawake wa kiswahili tu ndio wana imani na libwata kumbe hata wasomi...MJ1 kulikoni ingawa nimekuelewa kwa kina kuhusu hili.
IronLady........pitia post zangu zote mwisho wa siku utanielewa niko upande gani mpenzi!!
 

hivi hapo utagunduaje? au ndio ile baba kaja kachukua vi boxer na vi sox vyake kahamia huku kwa kimada ndio 2hic kakorogewa hamira kwenye chai?...haaa haya mambo magumu sana...
 

Babu,
hapo kwenye red kwa kweli hata mi ningependa kujua.....
ikitokea kwangu nahisi nitachuma fimbo nichape.....

Kwenye blue.....i wish ningeweza kujoin lakini bahati mbaya sipo kwenye hilo kundi.....
 
hivi hapo utagunduaje? au ndio ile baba kaja kachukua vi boxer na vi sox vyake kahamia huku kwa kimada ndio 2hic kakorogewa hamira kwenye chai?...haaa haya mambo magumu sana...

Swali gumu...kwamba mpango wa nje unamlisha nanihii wako limbwata.......hii sababu ya babu asprin ya kutafuta mtoto wa kike sore, kukata ulabu
 
Babu,
hapo kwenye red kwa kweli hata mi ningependa kujua.....
ikitokea kwangu nahisi nitachuma fimbo nichape.....

Kwenye blue.....i wish ningeweza kujoin lakini bahati mbaya sipo kwenye hilo kundi.....
I will be there for you. Wory not..the protector is around to protect you.. Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…