Swali gumu...kwamba mpango wa nje unamlisha nanihii wako limbwata.......hii sababu ya babu asprin ya kutafuta mtoto wa kike sore, kukata ulabu
I will be there for you. Wory not..the protector is around to protect you.. Karibu
I will be there for you. Wory not..the protector is around to protect you.. Karibu
cjui baada ya 3+ yrs hayo maneno yanapoteleaga wapi, kweli cjui kabisa....mwanzo mtam mwehh.
Hahaha bibie hii thread inayojitegemea!! Sababu nyingine ya kunywa biacjui baada ya 3+ yrs hayo maneno yanapoteleaga wapi, kweli cjui kabisa....mwanzo mtam mwehh.
Tupaze sauti tuseme no Limbwata...Then i'll also have to be your protector......
coz kama ukilishwa hilo li kitu mimi si i will loose my protector......
Hahaha bibie hii thread inayojitegemea!! Sababu nyingine ya kunywa bia
Hili ni hitimisho bora kabisa, inawezekana kuna dawa zenye kupumbaza mtu na kumfanya aondokane na utashi wake wa kawaida na awe anamtumikia kimapenzi mwanamke mmoja aliyempa dawa hizo, lakini ulichokisema kinalenga katika kumteka mwanaume kwa utashi wake mwenyewe kwa ukarimu/ mapenzi unayomuonesha.Limbwata bwana ni ujuzi wako asikwambie mtu hakuna dawa.
Hakuna mganga wa mapenzi mganga mwenyewe hakuna mwingine.
IronLady........pitia post zangu zote mwisho wa siku utanielewa niko upande gani mpenzi!!
Limbwata kwako my protector.....??
Not applicable kabisa......
Comes with a natural cause!!! (Pope na Babu wamelala bado....etii eeh!!)
Kwahiyo hii thought mmekubaliana kuwa Tego ni jibu sahihi la limbwata au limbwata ni nyama ya ulimi?
Swali kwa MJ1:
Inakuwa vipi kwa sisi wenye chama chetu ukajikuta bibi kakuwekea limbwana na infii naye kakuwekea limbwata?
Swali kwa wajukuu:
Utafanya nini ukigundua mmeo kawekewa limbwata na mpango wake wa nje?
Swali kwa infii:
Mnaonaje leo tukikutana tukajadili namna ya kukwepa malimbwata na namna ya kuwawekea mai waifu zetu tego? (Sababu nyingine ya kukutana ili tunywe bia):welcome:
Hili ni hitimisho bora kabisa, inawezekana kuna dawa zenye kupumbaza mtu na kumfanya aondokane na utashi wake wa kawaida na awe anamtumikia kimapenzi mwanamke mmoja aliyempa dawa hizo, lakini ulichokisema kinalenga katika kumteka mwanaume kwa utashi wake mwenyewe kwa ukarimu/ mapenzi unayomuonesha.
Hii ina maana kuwa kuna option 3:
1:kunifanyamimi mwanaume kuwa zezeta ili "nikupende" wewe peke yako (a.k.a love zombie) kwa kutumia ushirikina (kama kweli inawezekana) lakini hali ukijua kuwa sikupendi kwa dhati/kwa hiari yangu.
2: Tabia, maumbile na mahusiano yetu kimapenzi na kimaisha kunivutia/kuniridhisha na kunifanya mwenyewe nipagawe na kukupenda kwa utashi wangu.
3: Mahusianon hayaendi vyema, mvuto wa mapenzi umepotea na imebidi nikumwage (kama sijakuoa maana diniyangu hairuhusu talaka).
Chagua ni la mwanamke mwenyewe....
Aisee umenisaidia kabisa
Hebu nletee limbwata hapo.... nakusubiri KingStaa.
Kwa mara ya pili naomba nijibiwe haya maswali yangu hapa:
Kabla babu hajakasirika
Babu,
hapo kwenye red kwa kweli hata mi ningependa kujua.....
ikitokea kwangu nahisi nitachuma fimbo nichape.....
Kwenye blue.....i wish ningeweza kujoin lakini bahati mbaya sipo kwenye hilo kundi.....
Hivi Babu hujioni ulivyobadilika siku hizi unachelewa kurudi kwa mkeo??? Hujui sababu basi mie nilikutilia kwenye Castle Lite!!!
Babu sijui miwani imepotea au......
hii hapa hujaona bado?
6 yrs bila limbwata, leo limbwata la nn?Naomba mwongozo mnajadili nini hapa?
Smiles utamchapa mmeo au aliyemwekea limbwata?