Hili ni hitimisho bora kabisa, inawezekana kuna dawa zenye kupumbaza mtu na kumfanya aondokane na utashi wake wa kawaida na awe anamtumikia kimapenzi mwanamke mmoja aliyempa dawa hizo, lakini ulichokisema kinalenga katika kumteka mwanaume kwa utashi wake mwenyewe kwa ukarimu/ mapenzi unayomuonesha.
Hii ina maana kuwa kuna option 3:
1:kunifanyamimi mwanaume kuwa zezeta ili "nikupende" wewe peke yako (a.k.a love zombie) kwa kutumia ushirikina (kama kweli inawezekana) lakini hali ukijua kuwa sikupendi kwa dhati/kwa hiari yangu.
2: Tabia, maumbile na mahusiano yetu kimapenzi na kimaisha kunivutia/kuniridhisha na kunifanya mwenyewe nipagawe na kukupenda kwa utashi wangu.
3: Mahusianon hayaendi vyema, mvuto wa mapenzi umepotea na imebidi nikumwage (kama sijakuoa maana diniyangu hairuhusu talaka).
Chagua ni la mwanamke mwenyewe....