Ona kiburi cha pesa Floyd Myweather

Ona kiburi cha pesa Floyd Myweather

Katumia muda mwingi wa maisha yake akipigwa makonde mazito na wanaume wenzie muacheni azitumie tu wangapi wamefilisika bila kufanya anasa,Tunaishi mara moja tu ni vema kula bata hata uki-dead kule uwendako unakumbuka mabalaa yako siku mfereji wa hela ukipita kwangu kwa bahati mbaya mbona patachimbika.
 
Kwa Kweli Power Mpaka Mie Wa Chato Ninayo,na Nzuri Hapo Kwa Fifty Kufilisika Imekaaje?Hivi May Weather Hana Mtoto?
50 mjanja mjanja mtoto wa mjini " alishauriwa na wanasheria wake ajitangaze kuwa kafilisika"" ili aweze kukwepa rungu la kulimwa fine " ya kumlipa bimdada aliye mdhalilisha kwa kupost clip aliyokuwa anafnya nae ngono "" mitandaoni"" na sio kwamba alikuwa amefilisika kweli "" wakati. anatngaza hivyo miaka miwili nyuma alikuwa ametoka kushirikishwa kwenye movie ya rambo na anord iliyomuingizia mkwanja mrefu tu achlia mbali hiyo series ya power iliyokuja kumpatia pesa kibao "" so hakuwa amefilisika kweli
 
50 cent

Tyson

Kuna yule wa nba nimemsahau

Walikua na pesa na wala bata sana lakin wakafilisika,huyu jamaa ajiangalie sana


Fifty hajafilisika mkuu, bado ana mpunga wa kutosha, alijitangaza bankrupt sababu za kibiashara tu. Watu wengi huwa wanafanya hivyo, mmoja wapo ni Donald Trump.

Tyson alishindwa kuwekeza, na watu greedy wakazigombea Pesa zake akaishia jela.

Floyd kawekeza kwenye njia nyingine nyingi ategemei pesa ya ulingoni tena .
 
50 hajafilisika mkuu "" zile nijanja Janja tu "" za kukwepa kumlipa fidia yule mwanamke aliye mdhalilisha kwa kupost clip yake ya ngono "" 50katoka kutoa series ya power mwaka jana tu mkuu naimefnya poa mnooo sokoni "" au akili yako ya muwaza Jolie Jolie tu"""
Wewe ni shilawadu
Hapo kwa Jolie Jolie pamenithibitishia hilo [emoji]
 
Habari hii ina manufaa gani katika kujenga Tanzania ya viwanda na si- ya vi-wonder?
 
Kwann jf hua mnakwazika sana juu ya maisha ya huyo jamaa? kuna thread nyingine/zingine zinamuhusu utaona wachangiaji wanavyochangia huku wamekunja ndita.

Guys ni muda sasa na wewe tafuta vyako u spend unavyotaka, mambo ya kumuombea mwenzio afilisike kisa tu anakula jasho lake hiyo ni CHUKI na chuki ni UCHAFU WA NAFSI.
 
Kwann jf hua mnakwazika sana juu ya maisha ya huyo jamaa? kuna thread nyingine/zingine zinamuhusu utaona wachangiaji wanavyochangia huku wamekunja ndita.

Guys ni muda sasa na wewe tafuta vyako u spend unavyotaka, mambo ya kumuombea mwenzio afilisike kisa tu anakula jasho lake hiyo ni CHUKI na chuki ni UCHAFU WA NAFSI.
Hukuwepo ninapozitafuta so usinipangie kuspend
 
Back
Top Bottom