MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Cha kwangu ni cha kufyatua watoto.wewe umejenga kipi..?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha kwangu ni cha kufyatua watoto.wewe umejenga kipi..?!
mara nyingi watu maskini kama wewe ndio mnakuaga na mikakati miiingiii pindi huna hela ukizikamata hushkiki unakod magar kwa ajili ya kubeba koti na viatu tu,mwache kijana wa watu atumie by the way hujui hata invenstiments zake...unadhan hana akili huyo?Wenae ni wale wale.
halaf kuna malofa wanajifanya wanauchungu na pesa zake wakati mwenyew kazipata kwa mbinde mama eehAna hela nyingi sana huyu jamaa,akifikiria zilie ngumi ambazo huwa zinampata akiwa anakusanya pesa ulingoni anaona wacha ale raha tu...
We mwache amuulize mwenzie Tyson yaliyomkutaBlack Amerikan wanaponda sana maisha na kufilisika nako ni rahisi sana huyo jamaa ajiangalie sana
Tyson hakuinjoy pesa yake, nyingi aliishia kulipa fidia za rape scandals50 cent
Tyson
Kuna yule wa nba nimemsahau
Walikua na pesa na wala bata sana lakin wakafilisika,huyu jamaa ajiangalie sana
Kwahiyo wewe ni tajiri?mara nyingi watu maskini kama wewe ndio mnakuaga na mikakati miiingiii pindi huna hela ukizikamata hushkiki unakod magar kwa ajili ya kubeba koti na viatu tu,mwache kijana wa watu atumie by the way hujui hata invenstiments zake...unadhan hana akili huyo?
Atadondokea Pua kama Tyson labda aanze kuwekeza kwenye projects kubwa.Black Amerikan wanaponda sana maisha na kufilisika nako ni rahisi sana huyo jamaa ajiangalie sana
Unamfahamu mwanzilishi mwenza wa mtandao wa whatsapp anaitwa Jan Koum lifestyle yake?? Ni mzungu.Ngozi nyeusi ndivyo ilivyo hadi kwenye ubongo, huwezi kukuta ngozi nyeupe inafanya ushamba kama huo.
50 cent
Tyson
Kuna yule wa nba nimemsahau
Walikua na pesa na wala bata sana lakin wakafilisika,huyu jamaa ajiangalie sana
Naenda viwanjani udsmAnakwambia alijisikia bored akaona aende zake Singapore alafu anasema mkae mkao wa kula kesho anaweza kuwa nchi nyingine yeyote....!! (isije ikawa TZ) Wewe ukiwa bored unafanya nini...?! View attachment 764917
Hela nyingi ngapi USD 1.2 BILLION watu kibao wanazo, sema MAYWEATHER ni mtu wa bataAna hela nyingi sana huyu jamaa,akifikiria zilie ngumi ambazo huwa zinampata akiwa anakusanya pesa ulingoni anaona wacha ale raha tu...
Aah kwani akifilisika wa huku tuna hasara gani bana sie tuhangaike na yetu50 cent
Tyson
Kuna yule wa nba nimemsahau
Walikua na pesa na wala bata sana lakin wakafilisika,huyu jamaa ajiangalie sana
Angewekeza kwenye real asset then ndo ale bataHela nyingi ngapi USD 1.2 BILLION watu kibao wanazo, sema MAYWEATHER ni mtu wa bata