Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
mbona waguna chief
50 mjanja mjanja mtoto wa mjini " alishauriwa na wanasheria wake ajitangaze kuwa kafilisika"" ili aweze kukwepa rungu la kulimwa fine " ya kumlipa bimdada aliye mdhalilisha kwa kupost clip aliyokuwa anafnya nae ngono "" mitandaoni"" na sio kwamba alikuwa amefilisika kweli "" wakati. anatngaza hivyo miaka miwili nyuma alikuwa ametoka kushirikishwa kwenye movie ya rambo na anord iliyomuingizia mkwanja mrefu tu achlia mbali hiyo series ya power iliyokuja kumpatia pesa kibao "" so hakuwa amefilisika kweliKwa Kweli Power Mpaka Mie Wa Chato Ninayo,na Nzuri Hapo Kwa Fifty Kufilisika Imekaaje?Hivi May Weather Hana Mtoto?
50 cent
Tyson
Kuna yule wa nba nimemsahau
Walikua na pesa na wala bata sana lakin wakafilisika,huyu jamaa ajiangalie sana
Wewe ni shilawadu50 hajafilisika mkuu "" zile nijanja Janja tu "" za kukwepa kumlipa fidia yule mwanamke aliye mdhalilisha kwa kupost clip yake ya ngono "" 50katoka kutoa series ya power mwaka jana tu mkuu naimefnya poa mnooo sokoni "" au akili yako ya muwaza Jolie Jolie tu"""
Wewe ni shilawadu
Hapo kwa Jolie Jolie pamenithibitishia hilo [emoji4]
ulingoni unaingia naye? hela yake,matumizi yake halafu ushamba uone wewe teh teh tehNgozi nyeusi ndivyo ilivyo hadi kwenye ubongo, huwezi kukuta ngozi nyeupe inafanya ushamba kama huo.
Hivi CR7 naye ni Black?Black Amerikan wanaponda sana maisha na kufilisika nako ni rahisi sana huyo jamaa ajiangalie sana
Wenae ni wale wale.ulingoni unaingia naye? hela yake,matumizi yake halafu ushamba uone wewe teh teh teh
Hukuwepo ninapozitafuta so usinipangie kuspendKwann jf hua mnakwazika sana juu ya maisha ya huyo jamaa? kuna thread nyingine/zingine zinamuhusu utaona wachangiaji wanavyochangia huku wamekunja ndita.
Guys ni muda sasa na wewe tafuta vyako u spend unavyotaka, mambo ya kumuombea mwenzio afilisike kisa tu anakula jasho lake hiyo ni CHUKI na chuki ni UCHAFU WA NAFSI.