Ona kifaru cha kibabe cha wajerumani(Tiger Tank) kilivyokuwa kinawashwa

King Tiger ilikuwa na emergency power on. Kuna kitu kama button mbele walikuwa wanawasha crew ikitokea ambush au wakiwa sehemu yenye adui ambapo wakitoka nje wanakuwa exposed. Ila hiyo ilikuwa ni rare kuitumia, ya uhakika ni hii ya kutoka nje hapo ambapo ni gunner na driver ndio wanatoka kama ilikuwa tank platoon isiyo na troops. Kama ni troops wako nje wanajua basi ndio wanawasha.

Kwenye baridi ya Siberia kifaru hiki Tiger kilipata shida. Kizito mno kupita kwenye tope, kiliundwa very complicated kama Wajerumani wanavyopenda, spare parts ngumu kutengeneza kirahisi, kigumu kufanyiwa services, kigumu kuwa mass produced, gharama kubwa kutengenezwa.

Kwenye vita vifaru kama T-34 cha Urusi na M4 Sherman cha Marekani ndio vilifanya vizuri.
Stalin hapo ndio aliposema "Quantity has a quality of its own"

Tiger kilikuwa bora kwenye range, shabaha, armour ila mapungufu yake niliyoandika mwanzoni yalikifanya kiwe na mchango mdogo mwishoni mwa vita.
 
Mkuu hebu tuache masihara, kuna kitu gani haswa unataka tujifunze hapo
 
Nadhani kwenye mambo ya kuzuia armor armour piercing ilikuwa ni moja ya sifa zake katika sifa zake lukuki
 
Uwanja wako huu Kwa Jf wewe ni undisputed
 
Nadhani kwenye mambo ya kuzuia armor armour piercing ilikuwa ni moja ya sifa zake katika sifa zake lukuki
Yes. Kilikuwa vizuri kwenye armor plate ni kinene na ndio maana ni kizito sana. Pia kilikuwa na gun kubwa yenye kutoa shell ya kasi na inayopenya mm nyingi za armor ya vifaru vya adui. Ila kilikuwa kigumu kugeuka na kufanya mambo haraka haraka. Na pia hakikuwa na elevation nzuri kushambulia kwenye miinuko na mabonde.

Kwahiyo kwenye kuvizia sio kizuri ila kwenye kufanya layer ya protection kilikuwa vizuri.
 
King Tiger ilikuwa na emergency power on. Kuna kitu kama button mbele walikuwa wanawasha crew ikitokea ambush au wakiwa sehemu yenye adui ambapo wakitoka nje wanakuwa exposed. Ila hiyo ilikuwa ni rare kuitumia, ya uhakika ni hii ya kutoka nje hapo ambapo ni gunner na driver ndio wanatoka kama ilikuwa tank platoon isiyo na troops. Kama ni troops wako nje wanajua basi ndio wanawasha.

Kwenye baridi ya Siberia kifaru hiki Tiger kilipata shida. Kizito mno kupita kwenye tope, kiliundwa very complicated kama Wajerumani wanavyopenda, spare parts ngumu kutengeneza kirahisi, kigumu kufanyiwa services, kigumu kuwa mass produced, gharama kubwa kutengenezwa.

Kwenye vita vifaru kama T-34 cha Urusi na M4 Sherman cha Marekani ndio vilifanya vizuri.
Stalin hapo ndio aliposema "Quantity has a quality of its own"

Tiger kilikuwa bora kwenye range, shabaha, armour ila mapungufu yake niliyoandika mwanzoni yalikifanya kiwe na mchango mdogo mwishoni mwa vita.
Nlitegemea cmnt yako "master" bingwa

Ova
 
Yes. Kilikuwa vizuri kwenye armor plate ni kinene na ndio maana ni kizito sana. Pia kilikuwa na gun kubwa yenye kutoa shell ya kasi na inayopenya mm nyingi za armor ya vifaru vya adui. Ila kilikuwa kigumu kugeuka na kufanya mambo haraka haraka. Na pia hakikuwa na elevation nzuri kushambulia kwenye miinuko na mabonde.

Kwahiyo kwenye kuvizia sio kizuri ila kwenye kufanya layer ya protection kilikuwa vizuri.
Hivi uliwahi kufuatilia lile dubwana walilojaribu kulitengeneza wajerumani kama prototype lilikuwa likifaru moja kubwa la ajabu zito mno sikumbuki walilipa jina gani
 
Vilikuwa ni vikubwa sana , Yan vinabebwa kwenye treni, na vinakuwa assemble kwenye station palipo andaliwa ,
 
No si hivyo nazungumzia panzer vii maus
 
Attachments

  • panzerkampfwagen-viii-maus-the-heaviest-tank-ever-built-it-v0-qsf3sgpp18781.jpg
    panzerkampfwagen-viii-maus-the-heaviest-tank-ever-built-it-v0-qsf3sgpp18781.jpg
    59.7 KB · Views: 18
Back
Top Bottom