King Tiger ilikuwa na emergency power on. Kuna kitu kama button mbele walikuwa wanawasha crew ikitokea ambush au wakiwa sehemu yenye adui ambapo wakitoka nje wanakuwa exposed. Ila hiyo ilikuwa ni rare kuitumia, ya uhakika ni hii ya kutoka nje hapo ambapo ni gunner na driver ndio wanatoka kama ilikuwa tank platoon isiyo na troops. Kama ni troops wako nje wanajua basi ndio wanawasha.
Kwenye baridi ya Siberia kifaru hiki Tiger kilipata shida. Kizito mno kupita kwenye tope, kiliundwa very complicated kama Wajerumani wanavyopenda, spare parts ngumu kutengeneza kirahisi, kigumu kufanyiwa services, kigumu kuwa mass produced, gharama kubwa kutengenezwa.
Kwenye vita vifaru kama T-34 cha Urusi na M4 Sherman cha Marekani ndio vilifanya vizuri.
Stalin hapo ndio aliposema "Quantity has a quality of its own"
Tiger kilikuwa bora kwenye range, shabaha, armour ila mapungufu yake niliyoandika mwanzoni yalikifanya kiwe na mchango mdogo mwishoni mwa vita.