Ona maajabu ya Artificial Intelligence: Inamjua mpaka Maxence Melo

Ona maajabu ya Artificial Intelligence: Inamjua mpaka Maxence Melo

Uliza inamjua Robert Heriel alafu Lete taarifa hapa
Swali: Unamjua Pasco Mayala
Jibu: Samahani, sijui maana ya "Pasco Mayala". Je, unaweza kutoa maelezo zaidi au kuuliza swali lingine? Nitajitahidi kukusaidia kwa kadri ya uwezo wangu.
Swali: Unamjua mwandishi wa habari wa Tanzania anayeitwa Pasco Mayalla? Ni mchumia tumbo fulani hivi
Jibu: Ndiyo, ninamfahamu Pasco Mayalla. Yeye ni mwandishi wa habari na mchambuzi wa siasa nchini Tanzania. Hata hivyo, sikufahamu habari za hivi karibuni kuhusu yeye kuugua au kusumbuliwa na tatizo la tumbo. Kama kuna jambo lingine ungelipenda kujua kumhusu, tafadhali niambie nitasaidia kwa kadri ya uwezo wangu.
Pascal Mayalla AI inasema ulikuwa unaumwa tumbo! Ni kweli?
 
Uliza inamjua Robert Heriel alafu Lete taarifa hapa
Swali: Unamjua mwandishi Robert Heriel
Jibu: Samahani, sina habari za kutosha kumhusu mwandishi huyo Robert Heriel. Je, unaweza kutoa maelezo zaidi kuhusu yeye au kuuliza swali lingine kuhusiana na mambo ya kijamii, elimu, sayansi, teknolojia au uandishi wa habari? Nitajitahidi kukusaidia kwa kadri ya uwezo wangu.
 
Mmeanza ku-tag mashost zenu, baada muda mfupi mnabadili muelekeo wa uzi kutoka kuwa mambo ya artificial intelligence na Kuwa kijiwe cha story zenu za mambo binafsi.
Utaona mtu anaanza kujiongelesha..
Nakuona shost ,habari za siku?.
Nipo, na mimi Nakuona!! Full bra brah.
Why msiende PM mjuliane hali ZENU?
Najua pombe yako kuu ni Double Kich, imekulevya sasa unaongea maweruweru na maruweruwe
 
Hello members (wale ambao mlikuwa hamjui kama mimi)!

Niliposoma kuwa Elon Musk na wenzake wametafadhalisha kuwa Artificial Intelligence (kwa kifupi AI) isiendelezwe tena kwani ni hatari kwa binadamu sikutilia maanani sana mpaka nilipoanza kuitumia. Je, wewe umewahi kuchati nayo? Kama bado basi kuna hii inayoitwa ChartGPT! Ni free.

Unatakiwa tu uwe na email na ukishajisajili uko tayari kuuliza chochote. Inajua mpaka kiswahili. Inaijua mpaka Jamii Forums na zaidi inamjua mpaka Maxence Melo na mashtaka kukamatwa kwake.

Ona nimeuliza swali hili: ''Unamjua Maxence Melo wa jamii Forum?

Hili hapa ndiyo jibu iliyonipa ''Ndiyo, ninajua kuhusu Maxence Melo, ambaye ni mwanzilishi na mmiliki wa JamiiForums, jukwaa la mtandaoni la kijamii na habari lililopo nchini Tanzania. Maxence Melo amekuwa mstari wa mbele katika kukuza uhuru wa kujieleza na utetezi wa haki za kibinadamu nchini Tanzania, lakini pia amekuwa akikabiliana na changamoto za kisheria kutokana na shughuli za jukwaa lake. Mnamo mwaka 2016, Maxence Melo alikamatwa na kushtakiwa kwa mashtaka ya kuzuia upelelezi na kuchapisha taarifa za uwongo, lakini alifanikiwa kupata dhamana baada ya kuzuiliwa kwa muda mrefu.''
Naomba link
 
Swali: Unamjua mwandishi Robert Heriel
Jibu: Samahani, sina habari za kutosha kumhusu mwandishi huyo Robert Heriel. Je, unaweza kutoa maelezo zaidi kuhusu yeye au kuuliza swali lingine kuhusiana na mambo ya kijamii, elimu, sayansi, teknolojia au uandishi wa habari? Nitajitahidi kukusaidia kwa kadri ya uwezo wangu.
Swali: Robert Heriel ni mtanzania. Anapenda kuandika habari kwenye mitandao hasa Jamii forum
Jibu: Ndiyo, ninakumbuka kusikia kuhusu Jamii Forum, ambayo ni jukwaa maarufu la mjadala na kubadilishana habari nchini Tanzania. Hata hivyo, sina habari za kutosha kuhusu mwandishi huyo Robert Heriel. Huenda ni mwandishi wa habari mwenye shughuli nyingi, kama vile wengine nchini Tanzania ambao huandika habari za kisiasa na jamii kwenye majukwaa mbalimbali ya mtandaoni. Ni vyema kuhakikisha kwamba habari unazosoma mtandaoni zinatoka kwa vyanzo sahihi na vinavyoaminika ili kuepuka habari za uwongo au za kupotosha.
 
Swali: Unamjua Pasco Mayala
Jibu: Samahani, sijui maana ya "Pasco Mayala". Je, unaweza kutoa maelezo zaidi au kuuliza swali lingine? Nitajitahidi kukusaidia kwa kadri ya uwezo wangu.
Swali: Unamjua mwandishi wa habari wa Tanzania anayeitwa Pasco Mayalla? Ni mchumia tumbo fulani hivi
Jibu: Ndiyo, ninamfahamu Pasco Mayalla. Yeye ni mwandishi wa habari na mchambuzi wa siasa nchini Tanzania. Hata hivyo, sikufahamu habari za hivi karibuni kuhusu yeye kuugua au kusumbuliwa na tatizo la tumbo. Kama kuna jambo lingine ungelipenda kujua kumhusu, tafadhali niambie nitasaidia kwa kadri ya uwezo wangu.
Pascal Mayalla AI inasema ulikuwa unaumwa tumbo! Ni kweli?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]si wewe ndio uliingizia mambo ya tumbo lakini
 
AI inatafuta majibu kupitia google kama kitu kipo google inakuletea chap. Melo taarifa zake ziko google ni rahis kuzipata. AI inafanya kazi kihivyo kama mlikua hamjui
 
Swali: Unamjua Pasco Mayala
Jibu: Samahani, sijui maana ya "Pasco Mayala". Je, unaweza kutoa maelezo zaidi au kuuliza swali lingine? Nitajitahidi kukusaidia kwa kadri ya uwezo wangu.
Swali: Unamjua mwandishi wa habari wa Tanzania anayeitwa Pasco Mayalla? Ni mchumia tumbo fulani hivi
Jibu: Ndiyo, ninamfahamu Pasco Mayalla. Yeye ni mwandishi wa habari na mchambuzi wa siasa nchini Tanzania. Hata hivyo, sikufahamu habari za hivi karibuni kuhusu yeye kuugua au kusumbuliwa na tatizo la tumbo. Kama kuna jambo lingine ungelipenda kujua kumhusu, tafadhali niambie nitasaidia kwa kadri ya uwezo wangu.
Pascal Mayalla AI inasema ulikuwa unaumwa tumbo! Ni kweli?
Umeiambia mwenyewe kuhusu uchumia tumbo.
 
W
Basi bado siyo hatari.

Kama ingekuwa hatari ilibidi hata ukiandika kama inamjua baba au mama yako iseme inawajua hapo ndo tungeogopa kwamba yeyote akitakiwa hakosekani.
atajuaje mtu ambae taarifa zake hata wiki pedia hazipo mkuu.. Kama unataarifa yako wiki pedia ni easy kukuaccess.. 😂
 
Sijaona ajabu lolote zaidi. Ya taarifa ambazo ziko mtandaoni.

AI inachofanya ni kuzichakata kwa haraka na kuzileta zikiwa na mpangalio.
 
Niliposoma kuwa Elon Musk na wenzake wametafadhalisha kuwa Artificial Intelligence (kwa kifupi AI) isiendelezwe tena kwani ni hatari kwa binadamu
Hao wakina Elon Musk ndo ma founder wenyewe wa io chatbot.. Alaf mara itumiwe mara isitumiwe😀😀
 
Back
Top Bottom