akili mwili mzima
JF-Expert Member
- Nov 13, 2025
- 2,662
- 5,558
Lema ni mataqo
Mimi nilichoandika kama unaelewa wa kusoma tensi: nimehitimisha kifo chake ni utata.Acha propaganda za kitoto. Alute ni mgonjwa muda mrefu hata yeye kasema hapo awali. Na familia yake imesema hivyo pia, ila wewe inakuja na stori za kijinga.
Kuwa realistic wapo wapi akina lipumba, Mbowe , Mbatia , Kabwe n.kWewe tapeli wasema.
Chomo yoyote kama weww hawezi kuona nimeandika nini.Taahira mwingine hata sijui umeandika uthenge gani
Kwenye dunia yenu ya upumbavu siasa ni rahisi kweli.Chomo yoyote kama weww hawezi kuona nimeandika nini.
So tuhalalishe mauji yanayofanywa na ccm kwakukubaliana na ufisadi, uvunjifu wq sheria na katiba?Lema kaongea fact ni ngumu kuelewa
Swala la vijana kuuliwa na kutekwa halifai
Nakazia, hawa watu wasipotemwa ina maana hata vikao muhimu bado wanahudhuria na kuna mambo bado wanafahamu.Chadema kuna watu kama 6 tu ...wakiwatema chama kitakuwa stable.. mmoja wapo ni Lema na muhuni Mbowe.
Kwanini waue na kuteka, kwao ni sawa? Anayepasa kufanya maridhiano ni Ccm na wananchi au CCM na chadema.Lema kaongea fact ni ngumu kuelewa
Swala la vijana kuuliwa na kutekwa halifai
Anayeua na kuteka ndiye hafai...Lema kaongea fact ni ngumu kuelewa
Swala la vijana kuuliwa na kutekwa halifai
Cha ajabu na hao wenye kujadili Lema tu nao huwa wanawasema wenye kujadili mpira tu na kuona ndio wanachelewesha maendeleo.Ila hii nchi hasara sana ukipita kushoto lema kulia lema mamaee
hakuna cha uchumi wala technology ni lema tu
Lissu kaacha!Hakuna MTU anaweza kuacha pesa siasa za Africa ni biashara kama biashara nyingine.
WApo. Mfano ni LissuHakuna MTU anaweza kuacha pesa siasa za Africa ni biashara kama biashara nyingine.
Serious mkuu yaani akifanya yeye kapatia akifanya mwingine kakoseaCha ajabu na hao wenye kujadili Lema tu nao huwa wanawasema wenye kujadili mpira tu na kuona ndio wanachelewesha maendeleo.
Na walioua na kuteka ndugu zetu tuwapende. ?Lema kaongea fact ni ngumu kuelewa
Swala la vijana kuuliwa na kutekwa halifai
Chadema kuna watu kama 6 tu ...wakiwatema chama kitakuwa stable.. mmoja wapo ni Lema na muhuni Mbowe.