Ona muujiza wa Lissu kwenye kupigwa risasi, tazama nerves na risasi zote lakini zilibaki intact!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Sijui kama naeleweka. Angalia hiyo sciatic nerve kwenye picha hiyo ambayo ni sawa na mguu wa Lisu mimi na wewe.

Mguu wote wa Lisu ulinyombuliwa na risasi, lakini nerve ilibaki intact ( na neves zingine). Hana tatizo la paralysis/dumbness of any body part/leg part due to nerve damage! (note huu sio mguu wa Lisu). Muujiza wa Mungu!

1677825048263.jpeg

Erythrocyte johnthebaptist
 
Ila duh.. Yaani kuwa rudisha Hawa... Kunafunua mauwaji mengi ya Jiwe, nilimsikiliza Lema nikasema nae asingestuka angekuwa tayari... Sijui nani alikuwa anamshauri Jiwe.... Leo hii huko aliko anawajibika peke yake... Tujifunze jamani... Kuna maisha mengine baada ya hapa duniani
 
View attachment 2535595
Erythrocyte johnthebaptist
Kabisa, yote hayo ni kusudio la Mungu kukomboa watu wengi zaidi ambao wangeteseka kwasababu ya yule mwovu. Tunamshukuru Mungu Mkuu kwa uwezo wake wa ajabu!
 
Ila duh.. Yaani kuwa rudisha Hawa... Kunafunua mauwaji mengi ya Jiwe, nilimsikiliza Lema nikasema nae asingestuka angekuwa tayari... Sijui nani alikuwa anamshauri Jiwe.... Leo hii huko aliko anawajibika peke yake... Tujifunze jamani... Kuna maisha mengine baada ya hapa duniani
CDM bado wanaendelea kupambana na maiti. They lost it all
 
Leo hii huko aliko anawajibika peke yake..
Samahani mkuu wewe ni muumini wa uislam au kikiristu?

Why, ukirisitu unasema kiyama ndipo hukumu ya kila mmoja itawekwa wazi na hata uislam unataka tutende mema ili kwenye kiyama upate ujira wako kulingana na matemdo yako.

Nowadays naona mnapandikiza uongo wa mtu akifa tayari huko alipo anapewa kashapewa hukumu!.
 
Back
Top Bottom