Jiwe liko motoni linaungua kwa atrocities alizowatendea watanzania/Lisu johnthebaptistSiku zote Mungu humlinda anayeonewa na humtupa motoni anayeonea.
"Watu wabaya hufa mapema" mzee Makamba.
Inategemea kwakua inasemwa pia "Chema hakidumu"Siku zote Mungu humlinda anayeonewa na humtupa motoni anayeonea.
"Watu wabaya hufa mapema" mzee Makamba.
Dah huu msemo unanifurahisha sana😅😅Siku zote Mungu humlinda anayeonewa na humtupa motoni anayeonea.
"Watu wabaya hufa mapema" mzee Makamba.
Lissu hakuachwa na Mungu hakikaJiwe liko motoni linaungua kwa atrocities alizowatendea watanzania/Lisu johnthebaptist
DaredevilLissu hakuachwa na Mungu hakika
Hakumwacha aangamie ....Kwa mwingine angeshakufa paleDaredevil
Kabisa, yote hayo ni kusudio la Mungu kukomboa watu wengi zaidi ambao wangeteseka kwasababu ya yule mwovu. Tunamshukuru Mungu Mkuu kwa uwezo wake wa ajabu!Sijui kama naeleweka. Angalia hiyo sciatic nerve kwenye picha hiyo ambayo ni sawa na mguu wa Lisu mimi na wewe.
Mguu wote wa Lisu ulinyombuliwa na risasi, lakini nerve ilibaki intact ( na neves zingine). Hana tatizo la paralysis/dumbness of any body part/leg part due to nerve damage! (note huu sio mguu wa Lisu). Muujiza wa Mungu!
View attachment 2535595
Erythrocyte johnthebaptist
CDM bado wanaendelea kupambana na maiti. They lost it allIla duh.. Yaani kuwa rudisha Hawa... Kunafunua mauwaji mengi ya Jiwe, nilimsikiliza Lema nikasema nae asingestuka angekuwa tayari... Sijui nani alikuwa anamshauri Jiwe.... Leo hii huko aliko anawajibika peke yake... Tujifunze jamani... Kuna maisha mengine baada ya hapa duniani
Ngoja tuulize wewe unafaida gani kuishiAna faida gani uyo jamaa
AminaKabisa, yote hayo ni kusudio la Mungu kukomboa watu wengi zaidi ambao wangeteseka kwasababu ya yule mwovu. Tunamshukuru Mungu Mkuu kwa uwezo wake wa ajabu!
wewe una faida gani?Ana faida gani uyo jamaa
Nayo alisema Mzee Makamba?Inategemea kwakua inasemwa pia "Chema hakidumu"
Samahani mkuu wewe ni muumini wa uislam au kikiristu?Leo hii huko aliko anawajibika peke yake..
wewe una faida gani?