Ona picha, hapa Tanzania Suali ni Timu gani hii?

Hapo na wakati ule ndugu watatu kizazi kimoja hucheza timu moja !! TZ ilibarikiwa.... Sasa nini kilichotusibu?
nosly jeepee007 oneni kimo na urefu wachezaji !!

Hata vimo vya wachezaji Ulaya vimepungua, nadhani ni evolution.

Imagine hata American Basketball wale greats siyo wengi kama enzi za nyuma, mchezo umehamia kwa shooters kuliko centres.
 
Hapo na wakati ule ndugu watatu kizazi kimoja hucheza timu moja !! TZ ilibarikiwa.... Sasa nini kilichotusibu?
nosly jeepee007 oneni kimo na urefu wachezaji !!

Kulikuwa na familia hizi

MANARA
ZIMBWE
MLAPAKOLO

Nchi kama RWANDA BURUNDI LESOTHO SWAZILAND BOTSWANA walikuwa wakija wanakula goli 20. Leo wanatufunga?
 
Kulikuwa na familia hizi

MANARA
ZIMBWE
MLAPAKOLO

Nchi kama RWANDA BURUNDI LESOTHO SWAZILAND BOTSWANA walikuwa wakija wanakula goli 20. Leo wanatufunga?
Ha ha ha ha .. aisee umenichekeeeesha !!
Usisahau Dilunga's /Sabu's/Abeid's/Aziz nk nk nk....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…