Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga ipi na mwaka gani wawe hivo?Yanga hii
TZ hatukuwahi kupata kipa mzuri kama huyo !!! captain Muhiydeen chipukizi wa kuzui magoli...Uyo kipa mguu umevunjika au😱
siha nzuri = siha njemaWakati huo watu walikuwa na afya kwelikweli. Tuliita siha nzuri
Upo ukweli na right!Hata vimo vya wachezaji Ulaya vimepungua, nadhani ni evolution.
Imagine hata American Basketball wale greats siyo wengi kama enzi za nyuma, mchezo umehamia kwa shooters kuliko centres.
Ha ha ha ha .. aisee umenichekeeeesha !!Kulikuwa na familia hizi
MANARA
ZIMBWE
MLAPAKOLO
Nchi kama RWANDA BURUNDI LESOTHO SWAZILAND BOTSWANA walikuwa wakija wanakula goli 20. Leo wanatufunga?
Ha ha ha ha .. aisee umenichekeeeesha !!
Usisahau Dilunga's /Sabu's/Abeid's/Aziz nk nk nk....
Wakati huo watu walikuwa na afya kwelikweli. Tuliita siha nzuri
Yes mkuu, huko mikoani ndiyo unakuta ukoo mzima wapo 1st eleven !!!Magongo's
Nakubaliana na ww mkuu..TZ hatukuwahi kupata kipa mzuri kama huyo !!! captain Muhiydeen chipukizi wa kuzui magoli...