Mahondaw bhana!!kila uzi et hauelewi,,hehehe
Sijui alikuwa anawaza nini, si angeacha tu kuandika uzi akimbie Kwanza, kwani jf inakimbia si ipo tuππππAnakimbizwa na mwenye gesti hajalipia chumba
yeah, dem ka mind kumbe hadi unachumba huku ctaki utaniua ,upole wako unafcha visa vyako kumbe,
utaelewa ikiingiaNini hiki??? Aliyeelewa msaada puliiiiiiiiiiiiiizzzzzzzz
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
30521716, member: 484857"]Mimi kabla yakupokea wokovu,kuna hotel moja pale Samora mjini,nilikuwa naitumia sana kuwasulubisha wadada ninao watoa lunch maofficen.Sasa wafanyakazi nilizoeana nao.Ikatokea kama miezi 6 nipo safari nje ya nchi.Kwahiyo hawakuniona muda mrefu,sasa nilirudi nikawa na bint mrembo sana,ile naingia tu pale reception yule Dada akanifurahia akanikaribisha kwa furaha,akajisahau akaniuliza MBONA UMEPOTEA,HATUJAKUONA MUDA MREFU,(muda wote nilikuwa kimnya).Mwisho akaniambia,Boss Card hii chumba kile unachokipenda.Daahh nilipewa mzigo nayule bint lakini sikatika hali ya furaha na starehe.Mimi kabla yakupokea wokovu,kuna hotel moja pale Samora mjini,nilikuwa naitumia sana kuwasulubisha wadada ninao watoa lunch maofficen.Sasa wafanyakazi nilizoeana nao.Ikatokea kama miezi 6 nipo safari nje ya nchi.Kwahiyo hawakuniona muda mrefu,sasa nilirudi nikawa na bint mrembo sana,ile naingia tu pale reception yule Dada akanifurahia akanikaribisha kwa furaha,akajisahau akaniuliza MBONA UMEPOTEA,HATUJAKUONA MUDA MREFU,(muda wote nilikuwa kimnya).Mwisho akaniambia,Boss Card hii chumba kile unachokipenda.Daahh nilipewa mzigo nayule bint lakini sikatika hali ya furaha na starehe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini hiki??? Aliyeelewa msaada puliiiiiiiiiiiiiizzzzzzzz
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
mhudumu ndio kiazi yeye hajiongez akaona leo nna mpya ,akavunga ni first time ananihudumia ,hafai kuwa guest kabsa analeta uteja wa kuuza nguo guest ,kaniudhi yaan !Kwanza kwa nini umpeleke kwa siku zote...
Pili muhudumu hana adabu kukuambia chukua cha siku zote, ndiyo maana ukanyimwa k...
Cc: mahondaw