Na akitokea mzarendo anafanyiwa figisu figisu ili tu asiwe kiongozi.TFF ni moja Ya Taasisi ambaYo haita kuja pata kiongoz Mzalendo kamwe
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Vile vile aise..Hahahahahha, umepatia kishenzi...🙂😉Ofisi ya TFF inataka kufanana na ya CHADEMA.....
Kwa omary ali bashir.Hii Sudan ipi?? Kusini-Juba au sudan-Khartoum???
Inarithishwa kizazi mpaka kizazi.Hii rushwa ipo ktk damu.sijui itafutikaje
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]TFF hawana tofauti na ofisi zile za Ufipa!
Hii ni aibu
Sent from my HUAWEI Y520-U22 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ofisi ya TFF inataka kufanana na ya CHADEMA.....
Dispensary ndio inatakiwa kuwa hivyo?hahaha hicho kiofisi cha tff kinaniua mbavu.....ka dispensary vile
Lini hiyo umemfunga msudan - KhartoumAlafu wakija bongo tunawafunga,hapo ndio mimi huona mpira ni kama kamali...!
Tulishampiga Khartoum mkuu na tukafuzu michuano ya Chan 2006-7 kama sikosei.Nakumbuka tulimpiga 2:1 kwao!Lini hiyo umemfunga msudan - Khartoum
Unaongelea miaka 10 iliyopita.... Hauwezi kuwa serious.. Hata Cape Verde tulimpiga 4-0 miaka hiyo ...... Sasa hivi unaweza Hata kutoa nae sare!!!???Tulishampiga Khartoum mkuu na tukafuzu michuano ya Chan 2006-7 kama sikosei.Nakumbuka tulimpiga 2:1 kwao!