Ona tofauti ya shirikisho la mpira la Tanzania na Sudan!

Ona tofauti ya shirikisho la mpira la Tanzania na Sudan!

@TFF wamekalia kutakatisha pesa na ufisadi...viazi kabisa wale, wache Malinzi apate joto la jiwe...
Ofisi ya TFF inataka kufanana na ya CHADEMA.....
Vile vile aise..Hahahahahha, umepatia kishenzi...🙂😉
 
Tafadhali Tafadhali Tafadhali




Tufollow Instagram kama kandanda24 kupata updates za soka bongo na bArani ulaya

Tafadhali sana tunahitaji sapoti yako mtanzania
 
Hivi umewahi kujiuliza Ata per capital income Tu Yao ? Wale warabu wana hela alafu wanapenda mpira sasa mtu kama jamal malinzi atajenga ata choo hapo karume ?
 
Watanzania mnatia aibu kushangaa majengo

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Alafu wakija bongo tunawafunga,hapo ndio mimi huona mpira ni kama kamali...!
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaah! Hicho kijumba utafikiri ni guest

Sent from my iPhone 6s
 
Tulishampiga Khartoum mkuu na tukafuzu michuano ya Chan 2006-7 kama sikosei.Nakumbuka tulimpiga 2:1 kwao!
Unaongelea miaka 10 iliyopita.... Hauwezi kuwa serious.. Hata Cape Verde tulimpiga 4-0 miaka hiyo ...... Sasa hivi unaweza Hata kutoa nae sare!!!???
 
Back
Top Bottom