Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 14,421
- 30,962
Warudi tu tupambane hapa hapa. Waafrica kusini ni wajinga wa mwisho. Je na sisi tufukuze ndugi zao?
Kuna wasouth wangapi bongo afu jiulize kuna wabongo wangapi south?
Warudi tu tupambane hapa hapa. Waafrica kusini ni wajinga wa mwisho. Je na sisi tufukuze ndugi zao?
Naunga mkono hojaWaafrica Huwa sio binadamu kamili ni watu wanaofanania na binadamu
asili ya mwafrika ni upendo na utu na sisi ndio binadamu kamili sema tuna chuki za kupandikizwa na hao unaohisi ni binadamu kamili
Mh! Yote ni mkanganyiko! Haki itendeke kwa kila.mtu!Sioni cha ajabu hapa, kama Mtz mwenzako anakumiminia misumari hadi unalamba mchanga sembuse hizi fimbo Tu tena unapigwa na wageni wasiokujua? Hii nafuu sana
SA anazoofishwa kwanza aman ndan ikosekane baadae watafuatiwa viongoz wakubwa ngoja tuone.Huu mpango unafadhiliwa na rangi nyeupe kupitia misaada kutoka US na Israel