Nimeishi huko miaka 12.. nchi yenye opportunity nyingi na wenyewe hawajaamka ni sehemu nzuri sana ya kujiinua kiuchumi tatzo chuki tu walizonazo juu ya wageni wenye asili ya weusi kama wao
Kukuangusha kiuchumi ni dk 1 tu , kukuhalibia biashara yako ,kilichonifanya nirudi tanzania ni kuchomewa duka na mimi nikiwa ndani yake Ila nilifanikiwa kuuzima moto huo na ilikuwa usiku wa manane.. jamaa wana roho ngumu sana hao
Japokuwa na yote hayo nipo tanzania maisha yananipiga nafikilia niende tena nikaanze upya.. haina jinsi