Ona unyama uliopitiliza wa rekodi ya dunia. Unatokwa na machozi

Ona unyama uliopitiliza wa rekodi ya dunia. Unatokwa na machozi

HAYA MATATIZO MMEYASABISHA NYIE WENYEWE KWA KUWADANGANYA VIJANA KUWA WAANDAMANE JESHI LITAWALINDA


KAMA MMEKULA HELA ZA MABEBERU MJIANDAE KUZIRUDISHA
Kwani mngeruhusu uchaguzi wa haki, mngepungikiwa na Nini.
 
Unyama , ukatili wa serikali, polisi na jeshi kwa wananchi wao.

Soma, unatokwa na machozi.
View attachment 3518490
Kiukweli kumnyima Mtu haki ya kutibiwa ni UKATIRI USIOVUMILIKA WALA KUSAMEHEKA aisee ni unyama wa aina gani huu waTz kutoa Uhai wa mtu Mahututi ambaye ilibidi kumsaidia kupambania Uhai wake Dah inauma sana
 
Moi aliua wapinzani mwisho na yeye yuko huko huko waliko aliowatanguliza.
Unaua mtu wewe mwenyewe hujui Mungu amepanga kukuchukua siku gani? Je kama ni baada ya mwezi? Utakua umepata faida gani?
Yeye anaua kwa ajili ya kuwakomesha Watanganyika, anawachukia hivyo kadri anavyofanikiwa kuwaua ndipo furaha yake inapopatikana. Lakini acha Watanganyika tuendelee kuuawa kama panya kwani ujinga wetu wa kukubali haya yote ndiyo unaotuponza, nchi ambayo kwa population haifiki hata kwa wilaya ya Temeke ndiyo inatawala, ina-control, inatesa, inadhulumu na inaibagaza Tanganyika yenye population ya about seventy million.
 
Back
Top Bottom