Kwani mngeruhusu uchaguzi wa haki, mngepungikiwa na Nini.HAYA MATATIZO MMEYASABISHA NYIE WENYEWE KWA KUWADANGANYA VIJANA KUWA WAANDAMANE JESHI LITAWALINDA
KAMA MMEKULA HELA ZA MABEBERU MJIANDAE KUZIRUDISHA
Kiukweli kumnyima Mtu haki ya kutibiwa ni UKATIRI USIOVUMILIKA WALA KUSAMEHEKA aisee ni unyama wa aina gani huu waTz kutoa Uhai wa mtu Mahututi ambaye ilibidi kumsaidia kupambania Uhai wake Dah inauma sanaUnyama , ukatili wa serikali, polisi na jeshi kwa wananchi wao.
Soma, unatokwa na machozi.
View attachment 3518490
fuckin no chance msiteegemee SOFT GAMEKwani mngeruhusu uchaguzi wa haki, mngepungikiwa na Nini.
Samia, Kikwete, Ridhiwani, Abdul, genge lote la mafisadi wahuni, askari almost wote na chawa wote mnahusika kwenye hili.Unyama , ukatili wa serikali, polisi na jeshi kwa wananchi wao.
Soma, unatokwa na machozi.
View attachment 3518490
Yeye anaua kwa ajili ya kuwakomesha Watanganyika, anawachukia hivyo kadri anavyofanikiwa kuwaua ndipo furaha yake inapopatikana. Lakini acha Watanganyika tuendelee kuuawa kama panya kwani ujinga wetu wa kukubali haya yote ndiyo unaotuponza, nchi ambayo kwa population haifiki hata kwa wilaya ya Temeke ndiyo inatawala, ina-control, inatesa, inadhulumu na inaibagaza Tanganyika yenye population ya about seventy million.Moi aliua wapinzani mwisho na yeye yuko huko huko waliko aliowatanguliza.
Unaua mtu wewe mwenyewe hujui Mungu amepanga kukuchukua siku gani? Je kama ni baada ya mwezi? Utakua umepata faida gani?