Namfahamu VEMA Simon Mwakifwambwa, Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF). Hapana. Nguo aliyovaa HAITANGAZI Uingereza, kwani rangi za bendera ya Uingereza ni nyekundu na nyeupe. Sasa tazama vizuri shati alilovaa Simon.
Kama suala ni kuzidiwa, kuvaa nguo hakumaanishi kwamba fulani ni mzalendo zaidi. Matendo yake. Je, amemleta huyo mwigizaji kutoka Ghana kuja kuisaidia Tanzania au kuja kuitangaza Ghana?
Jaribuni kuchanganua mambo kwanza, kabla ya kuanza kutoa mada zisizo na mashiko!
Acha kubwabwaja,wewe kumfahamu mtu ndio avae nguo imeandikwa England wakati anaenda Airport kumpokea mgeni? Ameshindwa hata kuchukua rubega la kimasai na kujitupia begani? Hatumpangii mtu nguo ya kuvaa but kwa nafasi yake na umuhimu wa tukio basi alitakiwa aonyeshe huo uzalendo unaosema anao.