Ona Uzalendo wa Wabongo Eti raisi wa ......Anazidiwa na Mgeni

Ona Uzalendo wa Wabongo Eti raisi wa ......Anazidiwa na Mgeni

Namfahamu VEMA Simon Mwakifwambwa, Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF). Hapana. Nguo aliyovaa HAITANGAZI Uingereza, kwani rangi za bendera ya Uingereza ni nyekundu na nyeupe. Sasa tazama vizuri shati alilovaa Simon.

Kama suala ni kuzidiwa, kuvaa nguo hakumaanishi kwamba fulani ni mzalendo zaidi. Matendo yake. Je, amemleta huyo mwigizaji kutoka Ghana kuja kuisaidia Tanzania au kuja kuitangaza Ghana?

Jaribuni kuchanganua mambo kwanza, kabla ya kuanza kutoa mada zisizo na mashiko!

Acha kubwabwaja,wewe kumfahamu mtu ndio avae nguo imeandikwa England wakati anaenda Airport kumpokea mgeni? Ameshindwa hata kuchukua rubega la kimasai na kujitupia begani? Hatumpangii mtu nguo ya kuvaa but kwa nafasi yake na umuhimu wa tukio basi alitakiwa aonyeshe huo uzalendo unaosema anao.
 
Na hao wadada watakuwa na unga kwenye nyabi zao. Sina imani kabisa na hawa wadada waigizaji. Ni punda hao, watakuwa wametoka brazil na cocaine na kuja tz kama kama wametokea ghana.
 
attachment.php
The Boss kuja huku uone mibastola,lol
 
jamaa hajagundua tu,mgeni kava jezi ya Taifa Stars,halafu jamaa kavaa shati lenye rangi za UK,sijui haoni aiabu
baadhi yetu sisi hatujielewi akiwemo uyu jamaa na inawezekana ww pia kwa 7babu naona ujaona kitu hapo.... pole sna
 
naoan hata huyu dada mwenye ``mwembe``` anamshangaa.........kwanza jamaa linaonekaan halijiamini ...chek baadala ya kumaintain eye contact lenyewe linaangalia pembeni....utafikiri anatangozwa
attachment.php

Acha kubwabwaja,wewe kumfahamu mtu ndio avae nguo imeandikwa England wakati anaenda Airport kumpokea mgeni? Ameshindwa hata kuchukua rubega la kimasai na kujitupia begani? Hatumpangii mtu nguo ya kuvaa but kwa nafasi yake na umuhimu wa tukio basi alitakiwa aonyeshe huo uzalendo unaosema anao.
 
umenikumbusha kuna siku kiongoz fulan alikuja marekan akapelekwa kwenye chuo. akatoa hotuba kwa lugha ya kiingereza. cha ajabu mzungu aliotoa hotuba kwa niaba ya chuo. akatoa hotuba kwa kiswahili. mkuu akaanza kujitekenya na kucheka mwenyewe

Haa...haa, naona unachokisema ndio kimewakilishwa na picha ya post hii. Ila nakuhakikishia kuwa, huyu kwa kwenye hii picha hawezi kujistukia labda mpaka apitie hapa...
 
Hahahahaaa...Shemejiiiiiiiiiiiiii..... The Boss ni mzee wa mapisto siyo? LoL.. Kaunga analo......
hhahahahahahaha bana shemeji TB alitaka picha ikuzwe aone warembo sasa mi nilivokuta mtu kaikuza nikaona nisimnyime kiwi ya macho kidogo
si unajua tena mi na wanyamwezi shemeji!lol!
 
Unatetea usichokijua. Siyo rangi tu, bali hata maandishi, hilo shati la Mtanzania limeandikwa England. Big shame! Utumwa wa fikra ni mbaya kuliko utumwa wa aina yoyote ile.

Kuna siku nilikuwa nafuatilia wasifu wa Waigizaji wa filamu moja ya Kinaijeria. Aliyekuwa ameigiza kama Mkuu wa idara ya magonjwa ya Mishipa, kiuhalisia alikuwa ni Professor katika magonjwa ya mishipa, na pia ni mkurugenzi wa hospitali kubwa kabisa jijini Lagos; aliyekuwa ameigiza kama daktari aliyemhudumia mgonjwa, kiuhalisia alikuwa ni specialist wa matatizo ya mishipa ambaye baadaye alikuja kuchukua nafasi ya profesa ya ukurugenzi Mkuu wa hospitali, na sasa ni seneta wa jimbo mojawapo nchini Naijeria; aliyeigiza kama mzazi wa binti aliyekuwa anaumwa alikuwa ni mfanyabiashara mhitimu wa Chuo Kikuu cha Havard katika biashara; na msichana aliyekuwa mgonjwa alikuwa ni mwanachuo wa mwaka wa 4 katika chuo cha tiba. Bahati mbaya niliingalia bila kukariri jina la picha lakini ilipendeza sana.

Picha zetu za kibongo, nyingi zimekaa kienyeji kwa sababu waigiza wengi wanaigiza picha ambazo zina mazingira wasiyoyajua. Mtu anaigiza kama Meneja au mkurugenzi wa kampuni wakati hajawahi hata mara moja kufanya kazi ofisini. Hajui hata uhusiano halisia ambao meneja anaweza kuwa nao na mfanyakazi wake. Anaigiza kama mfanyabiashara wakati hajawahi kuwa na hata genge. Anataka aigize kama mchungaji wakati hajawahi hata kwenda kanisani. Nina imani kuwa watanzania wengi watakapokuwa na elimu ya uhakika ndipo wataweza kumudu mambo mbalimbali, iwe ni michezo ya kuigiza, miziki, biashara, n.k. Kwa sasa fani ya uigiza inaonekana ni fani ambayo kila mmoja anaweza kufanya. Wpo wachache wanaojitahidi, nawapongeza lakini walio wengi bado sana.

Namfahamu VEMA Simon Mwakifwambwa, Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF). Hapana. Nguo aliyovaa HAITANGAZI Uingereza, kwani rangi za bendera ya Uingereza ni nyekundu na nyeupe. Sasa tazama vizuri shati alilovaa Simon.

Kama suala ni kuzidiwa, kuvaa nguo hakumaanishi kwamba fulani ni mzalendo zaidi. Matendo yake. Je, amemleta huyo mwigizaji kutoka Ghana kuja kuisaidia Tanzania au kuja kuitangaza Ghana?

Jaribuni kuchanganua mambo kwanza, kabla ya kuanza kutoa mada zisizo na mashiko!
 
Mimi nafikiri mleta mada anazungumzia Uzalendo huyu Mghana anaonekana amevaa Tshet yenye Rangi ya Bendera ya Tanzania na pia inaonyesha maneno iliyoandikwa ni TANZANIA wakati huyu wa kwetu amevaa shati lenye bendera ya UK.

Ehee huyu Mghana naye Waghana wenzake wanmshangaa kwa nini anaitangaza Tanzania badala ya nchi yake Ghana!!! Ni mtindo wa kushangaana tu.

Tiba
 
Na hii ni issue kwelikweli....huwa mimi sipendi nunua bongo movies kwani nyingi huwa zinaniudhi mara niangalipo....wanawake wa kibongo wanalegea km milenda wakidhani wanakuwa sex kumbe wanachosha, kuna matumizi ya kijinga ya kiingereza wakidhani kuwa wanajenga mazingira ya kuuza nje.Wana kingereza kibovu sana.Timing ya events ni ya kitoto..halafu movie hazina big idea...

Umenena mkuu,hata wakija kukung'ng'a humu tupo wengine tunaofikiria hivyo pia!

Eti mtu anaenda hotelini watakuonesha toka yuko kwake anajiandaa,njiani full time hadi anafika! Shida yao muvi iwe na part two! Siwezi kununua upuuzi huu!
 
Na hii ni issue kwelikweli....huwa mimi sipendi nunua bongo movies kwani nyingi huwa zinaniudhi mara niangalipo....wanawake wa kibongo wanalegea km milenda wakidhani wanakuwa sex kumbe wanachosha, kuna matumizi ya kijinga ya kiingereza wakidhani kuwa wanajenga mazingira ya kuuza nje.Wana kingereza kibovu sana.Timing ya events ni ya kitoto..halafu movie hazina big idea...

Kwani hawa waigizaji wa bongo wamesoma wapi? Kumbuka wengi wa waigizaji wa nchi nyingine ni university graduates. Sasa kama elimu ya darasani nindogo atakuwaje na big idea? Haiwezekani. Ndiyo maana wanashindwa kuvaa uhalisia wa kile wanachotaka kukionesha.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
kwa ufupi mtoa mada anamaanisha mgeni anapromoti nchi ya mwenyeji wake
wakati mwenyeji anapromote taifa koloni.
hatuna uzalendo na pia mwenyeji hajiamini amini yupo yupo tu.
Tujifunze watanzania kuwachangamkia wenyeji tuache woga woga wa kitoto
 
Back
Top Bottom