Ona wanachonifanyia malaya kila nikiwachukua

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Najiuliza ni mimi tu au ni kwa wote, maana nikienda eneo wanalojiuza utawakuta wamechangamka na kukukaribisha, ukimfikisha chumbani ghafla anakunja sura na kuanza kukupeleka mbio, "si uvue, sina muda wa kupoteza! toa hela kabisa, fanya basi kama hutaki unanilipa ya kunipotezea muda.

Yaani mpaka mood inakata, naamua tu nimlipe hiyo ya kumpotezea muda aende zake tusije kugombana bure.

Sasa sijui ni mimi tu sababu labda kamwili kangu ni kadogodogo au ni kawaida na inatokea kwa wengine pia.
 

wote ndo walivyo wako kikazi zaidi
 

1)katoe swadaka ili ujenge maisha yako ya kesho akhera
2)saidi watoto yatima akina mama na wazee wasiojiweza
3)changia mradi wa kujenga vyoo barabarani
4)changia mradi wa kujenga mabweni kwa watoto wa kike

afu nyie mnaowanunua hao madada ndio mnaosababisha waendelee kuwepo

pia unazid kujichimbia shimo la umaskin ukiwa bado kijana unataka kuwa historia kabla muda wako hujafikia eeeeeh

good luck..........!!
 
Alichokufanyia ni sahihi kabisa. Cku nyingine usiachane nae bila kumuuliza swali lako.
 
Uwe unalipia usiku mzima.:cool2:

Hata umlipe siku nzima, malaya atakupelekesha tu. Hawanaga kuremba. Wao wanachotaka ni pesa, na laiti wengeweza kuipata hiyo pesa bila kutoa dudu basi wangefurahi sana. So wanatoa dudu basi tu.

Tena wengi wao wanachukia wanaume, maana wamefikishwa hapo walipo kwa sababu ya wanaume. Isitoshe wengi wanakuwa wameshafanyiwa vitendo vya ukatili na wanaume wengine jambo ambalo huzidisha chuki kwa wanaume.

Be careful unapochukua malaya.
 

nimeamini kweli ulistaafu ukarudisha funguo za watu!!
 

Hii hadithi nzuri inafunza
 
Hivi kwani isifike mahali Moderator ukazuia posts km hizi...zinatupeleka wapi? na nini hasa maana yake kwa maadili ya kitanzania?si lazma kila kitu kiachiliwe JF...mimi naamini hili ni jukwaa la watu makini ...wenye nia njema na jamii na maendeleo ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…