Ona wanachonifanyia malaya kila nikiwachukua

Najiuliza ni mimi tu au ni kwa wote! maana nikienda eneo wanalojiuza utawakuta wamechangamka na kukukaribisha, ukimfikisha chumbani ghafla anakunja sura na kuanza kukupeleka mbio..."si uvue, sina muda wa kupoteza!, toa hela kabisa, fanya basi kama hutaki unanilipa ya kunipotezea muda!!

Yaani mpaka mood inakata, naamua tu nimlipe hiyo ya kumpotezea muda aende zake tusije kugombana bure. Sasa sijui ni mm tu sababu labda kamwili kangu ni kadogodogo au ni kawaida na inatokea kwa wengine pia?

Wengi wao wako hivyo kaka nami nimekutana nao ila nilibuni ujanja mapema na kukabuliana nao,kwanza tunapatana bei mapema na aina ya huduma nayotaka na muda qa huduma.
Tukikubaliana hapohapo namwambia kuwa akiwnda kufanya vinginevyo basi namfukuza na simlipi
Baadaye niliacha kuwachukua na sikuhizi nachukua wanafunzi wa vyuo au wanawake wanapfanyakazi maofisini
 
mwenzako.yuko kazini.....weye wataka kuremba kama mkeo......fanya yako uumpe nafasi mwenzio.......
 
Nikiwa mwanafunzi enzi za Nyerere tulikuwa tunaishi Masaki, sisi ni wale wazazi walistaahafu na kurudisha funguo za watu. Kufupisha hadith, tulikuwa na garden man anaitwa Juma, aliish Gongo la Mboto. Kule yeye alikua mwenyekiti wa mtaa, kuna siku alichelewa sana kuja kazini tukawa na wasiwasi, na mobile phone hazikuwepo wakati huo, alikuja na kisa hiki:

Kijana mgeni mtaani aliopoa Malaya akaenda nae nyumbani, kijana alishakunywa konyagi za kutosha akaanza kaproject na akaomba afumue marinda dada akamwambia pesa itaongezeka, kijana akakubali. Asubuhi anampa dada wa watu pesa ya kitoto, dada hakukubali akamwambia kitachimbika leo. Ilibidi kesi iende kwa mama mwenyenyumba, balozi wa nyumba kumi mpaka mwenyekiti wa mtaa. Ilibid wazee wachangane pesa dada apewe haki yake

Haki haipatikani mpaka kwa ncha ya upanga
 
Safi sana, tafuta wa kwako utulie! ww unadhan watakuridhisha hao? changu anakula dudu hata 10 kwa siku unataka ugande?
 
Najiuliza ni mimi tu au ni kwa wote! maana nikienda eneo wanalojiuza utawakuta wamechangamka na kukukaribisha, ukimfikisha chumbani ghafla anakunja sura na kuanza kukupeleka mbio..."si uvue, sina muda wa kupoteza!, toa hela kabisa, fanya basi kama hutaki unanilipa ya kunipotezea muda!!

Yaani mpaka mood inakata, naamua tu nimlipe hiyo ya kumpotezea muda aende zake tusije kugombana bure. Sasa sijui ni mm tu sababu labda kamwili kangu ni kadogodogo au ni kawaida na inatokea kwa wengine pia?

lara 1 pita huku ujibu tuhuma, wateja wanalalamika kwamba inakuwaje tena huwanga munafanya hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Nikiwa mwanafunzi enzi za Nyerere tulikuwa tunaishi Masaki, sisi ni wale wazazi walistaahafu na kurudisha funguo za watu. Kufupisha hadith, tulikuwa na garden man anaitwa Juma, aliish Gongo la Mboto. Kule yeye alikua mwenyekiti wa mtaa, kuna siku alichelewa sana kuja kazini tukawa na wasiwasi, na mobile phone hazikuwepo wakati huo, alikuja na kisa hiki:

Kijana mgeni mtaani aliopoa Malaya akaenda nae nyumbani, kijana alishakunywa konyagi za kutosha akaanza kaproject na akaomba afumue marinda dada akamwambia pesa itaongezeka, kijana akakubali. Asubuhi anampa dada wa watu pesa ya kitoto, dada hakukubali akamwambia kitachimbika leo. Ilibidi kesi iende kwa mama mwenyenyumba, balozi wa nyumba kumi mpaka mwenyekiti wa mtaa. Ilibid wazee wachangane pesa dada apewe haki yake

Hahaaaa! jf raha sana.
 
Hivi kwani isifike mahali Moderator ukazuia posts km hizi...zinatupeleka wapi? na nini hasa maana yake kwa maadili ya kitanzania?si lazma kila kitu kiachiliwe JF...mimi naamini hili ni jukwaa la watu makini ...wenye nia njema na jamii na maendeleo ya Tanzania.

Hili jukwaa ni la watu wazima hakuna mtoto hapa wa kufunzwa tabia mbaya. Ukiona hapa hapafai hamia fb ukaangalie picha za utupu. Au ulifikiri hapa ni kanisani au msikitini! Tuache kwa raha zetu.
 
Nikiwa mwanafunzi enzi za Nyerere tulikuwa tunaishi Masaki, sisi ni wale wazazi walistaahafu na kurudisha funguo za watu. Kufupisha hadith, tulikuwa na garden man anaitwa Juma, aliish Gongo la Mboto. Kule yeye alikua mwenyekiti wa mtaa, kuna siku alichelewa sana kuja kazini tukawa na wasiwasi, na mobile phone hazikuwepo wakati huo, alikuja na kisa hiki:

Kijana mgeni mtaani aliopoa Malaya akaenda nae nyumbani, kijana alishakunywa konyagi za kutosha akaanza kaproject na akaomba afumue marinda dada akamwambia pesa itaongezeka, kijana akakubali. Asubuhi anampa dada wa watu pesa ya kitoto, dada hakukubali akamwambia kitachimbika leo. Ilibidi kesi iende kwa mama mwenyenyumba, balozi wa nyumba kumi mpaka mwenyekiti wa mtaa. Ilibid wazee wachangane pesa dada apewe haki yake

Hapa intesion naona ilikuwa kutueleza uliwahi kuishi Masaki! Tumekusikia.
 
Nikiwa mwanafunzi enzi za Nyerere tulikuwa tunaishi Masaki, sisi ni wale wazazi walistaahafu na kurudisha funguo za watu.

so ww unaishi masaki na ni mama mtu mzima, au sijakupata vizuri??
 
Hivi kwani isifike mahali Moderator ukazuia posts km hizi...zinatupeleka wapi? na nini hasa maana yake kwa maadili ya kitanzania?si lazma kila kitu kiachiliwe JF...mimi naamini hili ni jukwaa la watu makini ...wenye nia njema na jamii na maendeleo ya Tanzania.

Wewe nenda jukwaa la dini kule utakutana na walokole wenzako, hapa mambo ya msondo mwachie Gurumo.
 
Tafuta wa kuoana nae kijana, wacha uzinzi, ni njia mbaya na chafu.
 
Najiuliza ni mimi tu au ni kwa wote, maana nikienda eneo wanalojiuza utawakuta wamechangamka na kukukaribisha, ukimfikisha chumbani ghafla anakunja sura na kuanza kukupeleka mbio, "si uvue, sina muda wa kupoteza! toa hela kabisa, fanya basi kama hutaki unanilipa ya kunipotezea muda.

Yaani mpaka mood inakata, naamua tu nimlipe hiyo ya kumpotezea muda aende zake tusije kugombana bure.

Sasa sijui ni mimi tu sababu labda kamwili kangu ni kadogodogo au ni kawaida na inatokea kwa wengine pia?

Sasa ulitaka mkifika aanze kujibaraguza kama mkeo? mwenzio yupo kazini na sasa kama umelipia uduma ya short time sasa unatakaje? embu chukua wa kumwambia leo full day na sitaki papara kama unayekufa na mafuriko..
 
we kweli mzoefu!..hahahah

Ma.laya ukionyesha hela kwa usiku mzima unaweza kutamani uwe unaenda naye nyumbani

Lakini ukute toka asubuhi hajaingiza hela halafu wewe unaenda kuleta mapenzi ya kwenye por.no aaaaah lazima akuzingue!
 
Back
Top Bottom