mangelengele
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 1,293
- 1,100
Marinda yalikwepo enzi za nyerere?
Kama umesoma enzi za nyerere basi utakua Mzee sana,sasa hizo lugha za marinda umezitolea Wapi!
Acha ushamba wewe, malinda yapo hadi kesho. Nenda kwa Kakobe pale Mwenge, utaziona za kumwaga au unaishi porini nini!