mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,649
aiseeehhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi wengine ni watu wazima tumechoka kutukanwa na watoto wadogo...maana kila tukiwapa nasaha za namna ya kuishi na kuwa wastaarabu mnaishia kututukana matusi ya nguoni......basi bora hata tuwashari namna ya kuplay safe....maana hiki ni kizazi cha nyoka na kimelaaniwa...........ulikuwa unataka kusema labda mdogo wangu....
Acha ushamba wewe, malinda yapo hadi kesho. Nenda kwa Kakobe pale Mwenge, utaziona za kumwaga au unaishi porini nini!
Ok tufanye yamekwisha ndugu...malumbano yasiyo na maana si sehemu ya maisha yangu....do your thing and let me do my things....uwe na siku njema ndugu yangu......Unaweza kuproof kwamba mimi ni dmogo kwako??? Labda pitia na maandiko yetu sote mimi na wewe, hope ndio directive kwako... Mkuu age aint revealed here, just contents and comments....
BE YOURSELF, PLAY SAFE..
Najiuliza ni
mimi tu au ni kwa wote, maana nikienda eneo wanalojiuza utawakuta
wamechangamka na kukukaribisha, ukimfikisha chumbani ghafla anakunja
sura na kuanza kukupeleka mbio, "si uvue, sina muda wa kupoteza! toa
hela kabisa, fanya basi kama hutaki unanilipa ya kunipotezea muda.
Yaani mpaka mood inakata, naamua tu nimlipe hiyo ya kumpotezea muda
aende zake tusije kugombana bure.
Sasa sijui ni mimi tu sababu labda kamwili kangu ni kadogodogo au ni
kawaida na inatokea kwa wengine pia.
Hata umlipe siku nzima, malaya atakupelekesha tu. Hawanaga kuremba. Wao wanachotaka ni pesa, na laiti wengeweza kuipata hiyo pesa bila kutoa dudu basi wangefurahi sana. So wanatoa dudu basi tu.
Tena wengi wao wanachukia wanaume, maana wamedikishwa hapo walipo kwa sababu ya wanaume. Isitoshe waengi wanakuwa wameshafanyiwa vitendo vya ukatili na wanaume wengine jamabo ambalo huzidisha chuki kwa wanaume.
Be careful unapochukua malaya.
did u buy her some food & drinks ? Bse yote yasingekuwapo na biashara ingefanyika vizuriiii
Sijawahi kununua na sitarajii
Mkuu kuna thread moja ya #Lara 1 inafundisha jinsi ya kupata mwanamke/mwanaume hapa JF for love/leisure/money etc.. Mkuu nakumbuka ulihamaki sana na kufikia kusema kama vile JF imekosa maadili kwa kuruhusu thread za namna hiyo au kama sikumbuki vizuri pia wewe na #Shyland mlimshambulia sana mleta mada.. Sasa mi nilidhani wenzangu mna kautukufu flani au kautakatifu kwa mbaaaali... Kumbe sioni tofauti ya comment zenu na Legendary Lara 1... So mkuu kabla hujaniambia nikapime Ukimwi hakikisha na we ushapima.. Na aliyemsafi amtupie jiwe yule mwanamama...
Nisishambuliwe nijibiwe kistaarabu tu..
CC: #Shyland ; #Lara 1; #Matola ; #masai dada; #miss chagga na #Hypocrites
Najiuliza ni mimi tu au ni kwa wote, maana nikienda eneo wanalojiuza utawakuta wamechangamka na kukukaribisha, ukimfikisha chumbani ghafla anakunja sura na kuanza kukupeleka mbio, "si uvue, sina muda wa kupoteza! toa hela kabisa, fanya basi kama hutaki unanilipa ya kunipotezea muda.
Yaani mpaka mood inakata, naamua tu nimlipe hiyo ya kumpotezea muda aende zake tusije kugombana bure.
Sasa sijui ni mimi tu sababu labda kamwili kangu ni kadogodogo au ni kawaida na inatokea kwa wengine pia.
Mimi nishapima, na mazee kajinyooshea kidole mwenyewe kwa kututangazia habari zake na malaya, sijamnyooshea mimi.
nipo huku Namtumbo!! hayo marinda sio sana huku !!
vipi ulivyonyanyaswa kinjinsia,hukuchukua hatua yeyote?
Hata kama kaka, hupaswi kusema vile. Ukimwi unaweza kukukuta nyumbani kwako unaangalia TV, hata km umepima huwezi jua moyo wa mkeo. Muwe mnabakiza maneno jaman, unaweza ukawa mwaminifu lkn mkeo akaambukizwa kizembe. Mungu tuepushie mbali.