Ukajiona una Akili kumbe mavi tu.Sheria za soccer timu zinatangazwa at least saa moja kabla ya mechi kuanza. Yaani wachezaji 11 wanaoaza na subs wote. Huwezi ukamuingiza mchezaji ambaye hayupo kwenye sub. Unachoongelea ni umbumbumbu wa soccer.
Simba mikia tu ht iwejeUkajiona una Akili kumbe mavi tu.
Kama Onana ni Outside Agent alipogusa mpira tu mpira ungesimamishwa ... Ungeona refa kupitia list yake Kisha Onana out, Ball drop inafanyika na mwisho was siku ungeskia Simba kuadhibiwa na wapinzani kupewa magoli matatu na alama juu.
Usijione una Akili bwege wewe.
Umemuita mwenzio mavi, inawezekana wewe ndio ukawa ndio mavi. Njoo na kikosi cha Simba cha jana kikionesha Onana yupo kwenye orodha ya wachezaji wa akibaUkajiona una Akili kumbe mavi tu.
Kama Onana ni Outside Agent alipogusa mpira tu mpira ungesimamishwa ... Ungeona refa kupitia list yake Kisha Onana out, Ball drop inafanyika na mwisho was siku ungeskia Simba kuadhibiwa na wapinzani kupewa magoli matatu na alama juu.
Usijione una Akili bwege wewe.
Sawa tu assume kuwa alikosea ku type, je wakati mpira umeanza kipindi cha kwanza Onana alionekana kwenye benchi la wachezaji wa akiba au jukwaani?Vipi kama aliye type hayo majina ya subs alikosea?
Kwann MaKolo hajakatwa alama km Onana hakuwa kwny hesab ?Umemuita mwenzio mavi, inawezekana wewe ndio ukawa ndio mavi. Njoo na kikosi cha Simba cha jana kikionesha Onana yupo kwenye orodha ya wachezaji wa akiba
WEWE ONANA ULIMUONA BENCHI??Vipi kama aliye type hayo majina ya subs alikosea?
HV hii michuano in Sheria zk yenyewe au ?Sawa tu assume kuwa alikosea ku type, je wakati mpira umeanza kipindi cha kwanza Onana alionekana kwenye benchi la wachezaji wa akiba au jukwaani?
KAMA HAKUNA SHERIA KILA TIMU IINGIZE WACHEZAJI 13HV hii michuano in Sheria zk yenyewe au ?
Umeenda nje ya swaliKAMA HAKUNA SHERIA KILA TIMU IINGIZE WACHEZAJI 13
Upo sahihi lakini kwenye lineup hakuwepo hapo sheria inasemaje? au hua kuna lineup ambayo haitangazwi?Ukajiona una Akili kumbe mavi tu.
Kama Onana ni Outside Agent alipogusa mpira tu mpira ungesimamishwa ... Ungeona refa kupitia list yake Kisha Onana out, Ball drop inafanyika na mwisho was siku ungeskia Simba kuadhibiwa na wapinzani kupewa magoli matatu na alama juu.
Usijione una Akili bwege wewe.
Jibu swali unataka unachowaza ww ndiyo kifuatwe?Jikite kwenye hoja
1. Simba ilikuwa na hali mbaya wapi? Hali mbaya ipi sababu kila mtu aliangaliw mpira.Hii imenishangaza sana katika huu mpira wetu (kivyetuvyetu).
Na ndiyo maana Hawa wachezaji huwa Wanakuja kuivimbia timu na kujiona wao ni muhimu sana haiwezekani mchezaji kikosi kimetoka hata subs hayupo lakini anakuja kuingia.
Kwa hili benchi la ufundi la Simba sc nawapa "BIG NO".View attachment 2863244
Unaishabikia Utopolo/mazuzu lkn sikuoni ukileta content yoyote humu kuhusu Utopolo.Hii imenishangaza sana katika huu mpira wetu (kivyetuvyetu).
Na ndiyo maana Hawa wachezaji huwa Wanakuja kuivimbia timu na kujiona wao ni muhimu sana haiwezekani mchezaji kikosi kimetoka hata subs hayupo lakini anakuja kuingia.
Kwa hili benchi la ufundi la Simba sc nawapa "BIG NO".View attachment 2863244
Wewe una hoja gani zaidi ya hisia.HUNA HOJA BALI UNAONGELEA HISIA TU UNAAMBIWA JIKITE KWENYE HOJA UNALETA HISIA.
Unaandika km unsombwa na mafuriko.kama n kweli kocha ana shida
2. naona yale mambo ya kuiga yanga yanawaumiza wameona tunachezesha b wakaona wasionekane underdog onnana apumzike weweweee na kama sio onanaa kufungwa ngewahusu
Kanuni za kombe la Mapinduzi zikoje.Sheria za soccer timu zinatangazwa at least saa moja kabla ya mechi kuanza. Yaani wachezaji 11 wanaoaza na subs wote. Huwezi ukamuingiza mchezaji ambaye hayupo kwenye sub. Unachoongelea ni umbumbumbu wa soccer.
Ni sheria ioi imevunjwa kwa kufanya hivyo? Itaje!HUNA HOJA BALI UNAONGELEA HISIA TU UNAAMBIWA JIKITE KWENYE HOJA UNALETA HISIA.