Nedlloyd
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 10,361
- 27,215
Ukajiona una Akili kumbe mavi tu.Sheria za soccer timu zinatangazwa at least saa moja kabla ya mechi kuanza. Yaani wachezaji 11 wanaoaza na subs wote. Huwezi ukamuingiza mchezaji ambaye hayupo kwenye sub. Unachoongelea ni umbumbumbu wa soccer.
Kama Onana ni Outside Agent alipogusa mpira tu mpira ungesimamishwa ... Ungeona refa kupitia list yake Kisha Onana out, Ball drop inafanyika na mwisho was siku ungeskia Simba kuadhibiwa na wapinzani kupewa magoli matatu na alama juu.
Usijione una Akili bwege wewe.