Onana hakuwepo hata subs kwenye mchezo dhidi ya APR ya Rwanda lakini kocha alipoona hali ni mbaya alimuita toka jukwaani na kufanya Sub

Sheria za soccer timu zinatangazwa at least saa moja kabla ya mechi kuanza. Yaani wachezaji 11 wanaoaza na subs wote. Huwezi ukamuingiza mchezaji ambaye hayupo kwenye sub. Unachoongelea ni umbumbumbu wa soccer.
Ukajiona una Akili kumbe mavi tu.
Kama Onana ni Outside Agent alipogusa mpira tu mpira ungesimamishwa ... Ungeona refa kupitia list yake Kisha Onana out, Ball drop inafanyika na mwisho was siku ungeskia Simba kuadhibiwa na wapinzani kupewa magoli matatu na alama juu.

Usijione una Akili bwege wewe.
 
Simba mikia tu ht iweje
Ujue Sheria ucjue we mkia tuu msikutane na Yanga mtajuta
 
Ukajiona una Akili kumbe mavi tu.
Kama Onana ni Outside Agent alipogusa mpira tu mpira ungesimamishwa ... Ungeona refa kupitia list yake Kisha Onana out, Ball drop inafanyika na mwisho was siku ungeskia Simba kuadhibiwa na wapinzani kupewa magoli matatu na alama juu.

Usijione una Akili bwege wewe.
Umemuita mwenzio mavi, inawezekana wewe ndio ukawa ndio mavi. Njoo na kikosi cha Simba cha jana kikionesha Onana yupo kwenye orodha ya wachezaji wa akiba
 
Kwann MaKolo hajakatwa alama km Onana hakuwa kwny hesab ?
 
Ukajiona una Akili kumbe mavi tu.
Kama Onana ni Outside Agent alipogusa mpira tu mpira ungesimamishwa ... Ungeona refa kupitia list yake Kisha Onana out, Ball drop inafanyika na mwisho was siku ungeskia Simba kuadhibiwa na wapinzani kupewa magoli matatu na alama juu.

Usijione una Akili bwege wewe.
Upo sahihi lakini kwenye lineup hakuwepo hapo sheria inasemaje? au hua kuna lineup ambayo haitangazwi?
 
Hii imenishangaza sana katika huu mpira wetu (kivyetuvyetu).
Na ndiyo maana Hawa wachezaji huwa Wanakuja kuivimbia timu na kujiona wao ni muhimu sana haiwezekani mchezaji kikosi kimetoka hata subs hayupo lakini anakuja kuingia.

Kwa hili benchi la ufundi la Simba sc nawapa "BIG NO".View attachment 2863244
1. Simba ilikuwa na hali mbaya wapi? Hali mbaya ipi sababu kila mtu aliangaliw mpira.

2.Mchezaji kama siyo wa muhimu kwanini anasajiliwa?

Nb:Jifunze kupunguza umaandazi. Ilitosha tu kusema kocha alikuwa anataka matokeo/ushindi na si kwamba Kimpira Simba ilizidiwa.

Kumbuka mpira ni mchezo wa wazi.
 
Hii imenishangaza sana katika huu mpira wetu (kivyetuvyetu).
Na ndiyo maana Hawa wachezaji huwa Wanakuja kuivimbia timu na kujiona wao ni muhimu sana haiwezekani mchezaji kikosi kimetoka hata subs hayupo lakini anakuja kuingia.

Kwa hili benchi la ufundi la Simba sc nawapa "BIG NO".View attachment 2863244
Unaishabikia Utopolo/mazuzu lkn sikuoni ukileta content yoyote humu kuhusu Utopolo.

Post zako zote ni kuhusu Mnyama , brand kubwa Simba.

Hongera kwa kuifuatilia Simba.

Nb:Una kitu utafika mbali!
 
kama n kweli kocha ana shida
2. naona yale mambo ya kuiga yanga yanawaumiza wameona tunachezesha b wakaona wasionekane underdog onnana apumzike weweweee na kama sio onanaa kufungwa ngewahusu
Unaandika km unsombwa na mafuriko.
 
Sheria za soccer timu zinatangazwa at least saa moja kabla ya mechi kuanza. Yaani wachezaji 11 wanaoaza na subs wote. Huwezi ukamuingiza mchezaji ambaye hayupo kwenye sub. Unachoongelea ni umbumbumbu wa soccer.
Kanuni za kombe la Mapinduzi zikoje.

Simba kufanya hivyo kuna kanuni au sheria ilihovunjwa?

Na kama ipo adhabu yake ni nini?

Mnataka kuaminisha watu kwamba nyie mna ufahamu kuhusu mpira kuzidi BENCHI LOTE LA UFUNDI LA SIMBA?
 
HUNA HOJA BALI UNAONGELEA HISIA TU UNAAMBIWA JIKITE KWENYE HOJA UNALETA HISIA.
Ni sheria ioi imevunjwa kwa kufanya hivyo? Itaje!

Adhabu yake ni nini?

Au Kanuni za kombe la mapinduzi zinasemaje?

Nb: unataka kutuaminisha kwamba wewe na mazuzu wenzio mna uelewa mpira kuliko Benchikha au benchi lote la ufundi.

Mchezaji anasajiliwa ili acheze.
 
Back
Top Bottom