the say
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,772
- 3,360
Mleta uzi ndio aweke kanuni hapa maana tunaweza anza kubwabwaja hapa kumbe kanuni zinaruhusu, tukaonekana mbuzi tu kwenye bonanza la watuTULETEE HAPA HIZO KANUNI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta uzi ndio aweke kanuni hapa maana tunaweza anza kubwabwaja hapa kumbe kanuni zinaruhusu, tukaonekana mbuzi tu kwenye bonanza la watuTULETEE HAPA HIZO KANUNI
Basi wako sawa, nilidhani mchezaji wa mtibwa aliingia kuichezea APR. Kama ni mchezaji wa Simba aliingia kuichezea Simba basi sawa ..HATA MIMI SIJUI NI MCHEZAJI WA TIMU GANI??
KUMBE UMEKUJA KUBISHANA??Basi wako sawa, nilidhani mchezaji wa mtibwa aliingia kuichezea APR. Kama ni mchezaji wa Simba aliingia kuichezea Simba basi sawa ..
Umempa jibu zuri sanaNaomba nikukumbushe tu kua hilo ni BONANZA. Halipo kwenye karenda ya CAF and FIFA. Hata ww ungecheza tu.
Na hata sheria hazitumiki za FIFANaomba nikukumbushe tu kua hilo ni BONANZA. Halipo kwenye karenda ya CAF and FIFA. Hata ww ungecheza tu.
Kubishana na nani,,KUMBE UMEKUJA KUBISHANA??
Self-righteous idiot kwa kuquote mawazo ya waliokufa.Great minds discuss ideas. Average minds duscuss events, mediocre minds discuss people.
Law 3 inazungumzia idadi ya wachezaji wanaoanza na subs na mambo mengine kuhusu wachezaji. Itafute uisome uielewe siwezi kukutafunia kila kitu.TULETEE HAPA HIZO KANUNI
Kaka ww umecheza Top flight nielezee hy outside agent ikoje ?Self-righteous idiot kwa kuquote mawazo ya waliokufa.
Ni samaki mfu ndio hupelekeshwa na mawimbi.
Imeisha Hiyo.
Katafute vigezo vinavyosimamiwa Mapinduzi Cup....Mapi wana Sheria zao Kama Kombe lisilotambulika na FIFA Wala Caf.Kaka ww umecheza Top flight nielezee hy outside agent ikoje ?
Hiyo Sheria inajulikana wazi sa mbn Simba hawajapokwa alama?Law 3 inazungumzia idadi ya wachezaji wanaoanza na subs na mambo mengine kuhusu .
Naanza kwelewa ssi, ila kolo uwezo duni snKatafute vigezo vinavyosimamiwa Mapinduzi Cup....Mapi wana Sheria zao Kama Kombe lisilotambulika na FIFA Wala Caf.
Achana na Lofa anaye generalize kila kitu.
Angalieni mnavyopakatwa na Kagame Fc.Naanza kwelewa ssi, ila kolo uwezo duni sn
Angalieni mnavyopakatwa na Kagame Fc.
HUNA HOJA KAA KIMYALaw 3 inazungumzia idadi ya wachezaji wanaoanza na subs na mambo mengine kuhusu wachezaji. Itafute uisome uielewe siwezi kukutafunia kila kitu.
Kwa huyo jamaa wa makolo mwenye matusi namwonea huruma tu. Jaribu kusoma post badala ya kuanza kutukana tu Inaleta picha mbaya ya malezi yako. Nakushauri achana na soka kabisa nenda kwenye mipasho.
Ukiona mtu anajiita kambi ya fisi, ujue hata akili yake ni ya kifisifisiPilipili ya shamba lakini chura wa jangwani inamuwasha, hivi awashwe kwa nini awashwe na pilipili ya shamba?