Onana hakuwepo hata subs kwenye mchezo dhidi ya APR ya Rwanda lakini kocha alipoona hali ni mbaya alimuita toka jukwaani na kufanya Sub

Onana hakuwepo hata subs kwenye mchezo dhidi ya APR ya Rwanda lakini kocha alipoona hali ni mbaya alimuita toka jukwaani na kufanya Sub

Great minds discuss ideas. Average minds duscuss events, mediocre minds discuss people.
Self-righteous idiot kwa kuquote mawazo ya waliokufa.
Ni samaki mfu ndio hupelekeshwa na mawimbi.
Imeisha Hiyo.
 
TULETEE HAPA HIZO KANUNI
Law 3 inazungumzia idadi ya wachezaji wanaoanza na subs na mambo mengine kuhusu wachezaji. Itafute uisome uielewe siwezi kukutafunia kila kitu.

Kwa huyo jamaa wa makolo mwenye matusi namwonea huruma tu. Jaribu kusoma post badala ya kuanza kutukana tu Inaleta picha mbaya ya malezi yako. Nakushauri achana na soka kabisa nenda kwenye mipasho.
 
Kaka ww umecheza Top flight nielezee hy outside agent ikoje ?
Katafute vigezo vinavyosimamiwa Mapinduzi Cup....Mapi wana Sheria zao Kama Kombe lisilotambulika na FIFA Wala Caf.
Achana na Lofa anaye generalize kila kitu.
 
Law 3 inazungumzia idadi ya wachezaji wanaoanza na subs na mambo mengine kuhusu .
Hiyo Sheria inajulikana wazi sa mbn Simba hawajapokwa alama?

kitu n Hy ndio tunataka utueleze
Ungemjua unayeshindana nae ungekausha ndg
 
Law 3 inazungumzia idadi ya wachezaji wanaoanza na subs na mambo mengine kuhusu wachezaji. Itafute uisome uielewe siwezi kukutafunia kila kitu.

Kwa huyo jamaa wa makolo mwenye matusi namwonea huruma tu. Jaribu kusoma post badala ya kuanza kutukana tu Inaleta picha mbaya ya malezi yako. Nakushauri achana na soka kabisa nenda kwenye mipasho.
HUNA HOJA KAA KIMYA
 
Back
Top Bottom