Onana is overated anazidiwa na Diara kipa wa Yanga

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Goal keeper wa Man United na Ghana ni kipa wa kawaida sana,nimeangalia mechi zake akiwa Manchester na Cameroon Niseme tu yuko level ya Aishi Manula anazidiwa hata na kipa wa Yanga Diara
 
Ila onana msimu huu nae Kawa kichekesho yani
 
Goal keeper wa Man United na Ghana ni kipa wa kawaida sana,nimeangalia mechi zake akiwa Manchester na Cameroon Niseme tu yuko level ya Aishi Manula anazidiwa hata na kipa wa Yanga Diara
Upo sahihi
 
onana kashuka tu kiwango ila kumlinganisha na diarra ni kumfanyia dharau onana kadaka final ya champions leauge msimu uliopita tena aliacha goli akawa anacheza mpira kama kiungo kabisa onana mwaka 2019 kacheza semi final ya champions leauge uje ulinganishe na uyo Kenge aliyozoea kudaka mashuti ya kibwana shomari
 
Goal keeper wa Man United na Ghana ni kipa wa kawaida sana,nimeangalia mechi zake akiwa Manchester na Cameroon Niseme tu yuko level ya Aishi Manula anazidiwa hata na kipa wa Yanga Diara
Inategemea unataka nn kutoka kwake kama unataka adake au aanzishe mashambulizi kwasababu hata yule kipa wa Manchester city ni shati sema kwasababu team yake mda mwingi inakuwa na mpira huwezi kuona hilo kwa hyo inategemea kocha anataka nini kutoka kwa kipa ila onana ni modern era goalkeeper
 
Mpira mchezo wa wazi...
Mchezaji kacheza UCL si kiwango kidogo.
Mchezaji kuflop inatokea, Mendy yuko wap?
 
Diara akazuie mashambulizi ya kikosi cha city, toternham, arsenal wakati ya kibu D yakilenga goli yanamshinda. HAYA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…